iqna

IQNA

Utamaduni
TEHRAN (IQNA)-Tajikistan inayozungumza Kiajemi ni mgeni wa heshima katika Maonyesho ya 34 ya Kimataifa ya Vitabu Tehran ambayo yalifunguliwa Jumatano Ukumbi wa Eneo la Kitamaduni la Imam Khomeini Mosalla mjini Tehran.
Habari ID: 3476991    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/12

TEHRAN (IQNA)-Tafsiri ya kwanza ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kihispania ni kati ya vitabu katika Maonyesho ya Kimatiafa ya Vitabu ya Tehran yanayomalizika leo.
Habari ID: 3470977    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/13