iqna

IQNA

rais
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Hii leo, hatima ya Palestina itaamuliwa kwa matakwa na irada ya Mujahidina.
Habari ID: 3475159    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/23

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Kupambana na Corona kwamba tayari ameidhinisha kununua dozi milioni 30 za chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474190    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14

TEHRAN (IQNA)- Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa serikali yake inataka kuondolewa vikwazo haramu vilivyowekwa na madola ya kibeberu dhidi ya Iran lakini suala hilo halitafungamanishwa na matakwa ya madola ajinabi.
Habari ID: 3474155    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/03

TEHRAN (IQNA) - Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetaja majina ya wagombea wa u rais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni humu nchini.
Habari ID: 3473945    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/25

TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa pongezi ma rais na viongozi na mataifa ya Wakristo kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa Miladia wa 2020.
Habari ID: 3472323    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/01

Vyombo vya habari vya Kiarabu vyakiri
TEHRAN (IQNA)-Vyombo vya habari vya Kiarabu vimekiri kushiriki kwa wingi Wairani hasa wanawake katika uchaguzi wa rais wa awamu ya 12 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470986    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/20

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Uislamu ni dini ya upendo na amani na siku zote inapinga na kukataza utumiaji mabavu na uchupaji mipaka.
Habari ID: 3462297    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/12

Waislamu nchini Marekani wamemkosoa vikali Ben Carson anayetaka kugombea kiti cha u rais kwa tikiti ya chama cha Republican kufuatia matamshi yake kuwa Mwislamu hapaswi kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani.
Habari ID: 3365872    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/21

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hujuma ya kinyama ya Saudi Arabia katika jirani ya Yemen ni kosa la kistratejia.
Habari ID: 3277848    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/10