iqna

IQNA

Mashidano ya Qur'ani
IQNA - Hatua ya mwisho ya Toleo la 25 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum ilifanyika Dubai, UAE, Ijumaa.
Habari ID: 3480039    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/12

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mhifadhi wa Qur’ani kutoka Uswidi ameshika nafasi ya kwanza katika Toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa wanawake huko Dubai, Umoja  Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3479431    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/14

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Zahra Ansari anaiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake.
Habari ID: 3479407    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu inaandaa toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake.
Habari ID: 3479401    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/08

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Zahra Ansari ambaye amehifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu ataiwakilisha Iran katika toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak Kwa Wanawake ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3479186    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26

Mashindano ya Qur;ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 27 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai ambayo hujulikana rasmi kama Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) zilifanyika katika mji wa UAE Jumamosi jioni.
Habari ID: 3478565    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya mwisho ya toleo la 27 la Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) inaendelea katika mji huo wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kushirikisha wawakilishi kutoka nchi 70.
Habari ID: 3478517    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 24 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yalihitimishwa katika hafla iliyofanyika mjini Dubai.
Habari ID: 3478252    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 24 YA Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yalianza Jumamosi jioni.
Habari ID: 3478165    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08

Mashindano ya Qur'ani
DUBAI (IQNA) - Waandalizi wa toleo la 24 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu walitangaza Desemba 13 kama tarehe ya mwisho ya usajili.
Habari ID: 3477996    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06

Mashindano ya Qur'ani
ABU DHABI (IQNA) – Mchakato wa usajili wa Toleo la 24 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu la Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu ulianza Jumatano.
Habari ID: 3477835    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/03

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
AMMAN (IQNA) – Hafidha wa Qur'ani Tukufu kutoka Jordan aliyeshinda Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai kwa wanawake anasema Qur'ani Tukkufu itasalia katika mioyo ya Waislamu licha ya vitendo vyote vya kufuru dhidi yake.
Habari ID: 3477661    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/28

Mashindano ya Qur'ani
DUBAI (IQNA) - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yalifungwa katika sherehe huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3477637    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/23

Mashindano ya Qur'ani
DUBAI (IQNA) – Toleo la 7 la mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yalizinduliwa huko Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3477607    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/16

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Washindi watatu bora wa Tuzo ya 26 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai waliarifishwa katika hafla iliyofanyika Dubai Jumanne usiku.
Habari ID: 3476821    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/06

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa toleo la 23 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum la Falme za Kiarabu katika kitengo cha wanaume wametunikiwa zawadi.
Habari ID: 3476455    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/24

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 23 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum yalimalizika katika Umoja wa Falme za Kiarabu siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3476401    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/14

Mashidano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 23 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum yameanza leo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Habari ID: 3476371    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Wanaotaka kushiriki katika Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wanatakiwa kujisajili kuanzia Novemba 1.
Habari ID: 3476003    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Hafla ya kufunga toleo la 6 la tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake ilifanyika Dubai ambapo washindi walipokea tuzo zao.
Habari ID: 3475905    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/09