IQNA

Qiraa ya Qur'ani Tukufu ya Qarii Sayyid Said wa Misri nchini Iran +Video

21:49 - July 14, 2020
Habari ID: 3472963
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Sayyid Said alitembelea Iran mwaka 2007 na kusema Qur'ani Tukufu katika mji wa Zanjan.

Katika kikao alichohudhuria aliweza kusoma Surah Al-Qasas na Surah An-Nasr.

Maqari wengine bingwa wa Misir, Sheikh Raqib Mustafa Qalwash na Sheikh Abolainain Shoaisha walihudhuria pia kikao hicho cha kujikurubisha na Qur'ani Tukufu.

 
Kishikizo: qarii ، misri ، qurani tukufu ،
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha