IQNA

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran yamalizika

14:02 - December 12, 2020
Habari ID: 3473447
Sherehe ya kufunga Mashindano ya 43 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran imefanyika katika Hoteli ya Eram mjini Tehran Ijumaa jioni.

Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu Iran Sayyed Abbas Salehi na Mkuu wa Shirika la Wakfu na Misaada Iran  Hujjatul Islam Sayyed Mehdi Khamoushi. Washiriki katika kategoria mbali mbali walitunukiwa zawadi.

captcha