IQNA

Futari katika Misikiti Mitakatifu ya Makka na Madina

13:54 - April 15, 2021
Habari ID: 3473818
Msikiti Mtakatifu wa Makka (al-Masjid al-Ḥaram) na Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW (Al Masjid an Nabawi) mjini Madina, imewapa vifurushi vya futari Waislamu waliofika katika maeneo hayo matakatifu kwa ajili ya Sala ya Magharibi katika siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Waislamu waliofika katika misikiti hiyo miwili mitakatifu walitakiwa kuzingatia kanuni za kiafya za kuzuia maambukizi ya COVID-19.

 
captcha