IQNA

Wapalestina washerehekea ushindi wa harakati za Muqawama dhidi ya Israel huko Ghaza

19:48 - May 21, 2021
Habari ID: 3473932
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina jana usiku walimiminika mitaani kusherehekea usitishwaji vita katika Ukanda wa Ghaza baada ya utawala haramu wa Israel kushindwa kukabiliana na wimbi kubwa la makombora ya harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu.

Vita vya siku 11 vilivyomalizika jana usiku, vilianza baada ya utawala wa Kizayuni kuvamia na kuharibu nyumba za wakazi wa eneo la Sheikh Jarrah huko Baitulmuqaddas Mashariki na vile vile kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa.

Wananchi wa maeneo mbalimbali ya ardhi za Palestina walimiminika mitaani na barabarani kushangiria ushindi, sekunde chache baada ya kutangazwa kuanza utekelezaji wa kusimamishwa vita baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na wanamuqawama wa Palestina, saa nane kamili usiku kwa majira ya eneo hilo.

Utawala vamizi wa Kizayuni wa Israel, jana saa nane usiku utawala huo ulianza kutekeleza usimamishaji vita kwa kuhofia vipigo zaidi vya makombora na maroketi ya wanamapambano wa Palestina.

شادی مردم غزه بعد از برقراری آتش بس + تصاویر / آماده

3972800/

Kishikizo: ghaza USHINDI palestina
captcha