IQNA

Indhari ya Qur’ani kwa wakadhibishaji + Qiraa ya Usama Karbalai

19:52 - September 29, 2021
Habari ID: 3474357
TEHRAN (IQNA)- Sambamba na siku za Arubaini ya Imam Hussein AS, wasomaji Qur’ani Tukufu katika ngazi ya kimataifa wameshiriki katika vikao vya kusoma Qur’ani ambavyo vimeandaliwa na Shirika la Habari la IQNA chini ya kaulimbiu ya ‘Ya Hussein katika Mazingira ya Qur’ani’.

Mmoja wa washiriki katika vikao hivyo alikuwa ni Ustadh Usama Karbalai, qarii maarufu wa Iraq ambaye hapa anasoma aya za 74-84 za Sura al-Waaqia’h kuhusu indhari kwa wakadhibishao aya za Qur’ani.

4001019

captcha