IQNA

Harakati za Qur'ani

Zaidi ya wavulana na washichana 1,000, washirikki kozi ya Tafsiri ya Qur'ani nchini Iraq

19:10 - October 07, 2024
Habari ID: 3479553
IQNA – Kozi ya Tafsiri ya Qur’ani Tukufu imefanyika katika mji wa Basrah, Kusini mwa Iraq, kwa kushirikisha zaidi ya wanafunzi 1,000.

Taasisi ya Dar-ul-Quran ya Idara ya Mfawidhi wa Haram ya  Imam Hussein (AS) imeandaa kozi hiyo.

Hamza al-Batat, ambaye ni msimamizi wa moja ya matawi ya Dar-ul-Quran, aliongeza kozi hiyo ya Qur'ani Tukufu.

Kozi hiyo iliwaleta wavulana na wasichana 750 walisoma kozi hiyo mtandaoni na wengine 250 walihudhuria madarasa kibinafsi, al-Batat alisema.

Alibainisha kuwa washiriki walipewa mtihani mwishoni mwa kozi na baada ya wanafunzi 15 waliopata alama 100 walitunukiwa zawadi.

Alisema madhumuni ya kozi hiyo ni kutafakari aya za Qur'ani, kuzidisha ufahamu wa Kitabu hicho kitukufu na kuendeleza kufanyia kazi mafundisho yake.

Over 1,000 Boys, Girls Take Quran Interpretation Course in Karbala

Over 1,000 Boys, Girls Take Quran Interpretation Course in Karbala

4240854

Habari zinazohusiana
Kishikizo: qurani tukufu iraq
captcha