IQNA

Usomaji Qur'ani

Usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa mtindo maalumu wa Morocco (+Video)

21:04 - November 24, 2022
Habari ID: 3476142
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Abdul Aziz al-Kar’ani ni imami katika Msikiti wa Al Ghazi Ayyaz Casablanca, Morocco.

Katika klipu huu iliyosambazwa katika mitandao ya kijamii anasoma aya za 31-35 za Sura Ibrahim katika Qur’ani wakati wa Sala ya Jamaa huku akiwa anazingatia mtindo tartil ambao maarufu nchini Morocco.

 

3481361

Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha