Hivi karibuni alisoma Aya za 81 na 82 za Surah Al-Isra mbele ya maqari kadhaa wa juu wa Misri, akiwemo Ustadh Abdul Fattah Taruti.
Ifuatayo ni klipu ya qiraa yake.
Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke! Na tunateremsha katika Qur'ani yaliyo ni matibabu na rehema kwa Waumini. Wala hayawazidishii madhaalimu ila khasara.