iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 50 wameuawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3471273    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/21

Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani imeilisaidia kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika mapigano ya hivi majuzi katika mji wa al Bukamal nchini Syria hatua ambayo inakinzana na madai ya Washington kwamba inapambana na ugaidi
Habari ID: 3471272    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/21

TEHRAN (IQNA)_Wakaguzi wa shule nchini Uingereza wametakiwa kuwasaili wasichana Waislamu katika shule za msingi iwapo watapatikana wamevaa mtandio au vazi la Hijabu wakiwa shuleni.
Habari ID: 3471271    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/20

TEHRAN (IQNA)-Polisi nchini Uganda wamepata mafunzo kuhusu sheria za familia na watoto katika dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3471270    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/19

TEHRAN (IQNA)-Mwalimu mmoja wa kiume katika jimbo la Virginia Marekani ameadhibiwa kwa likizo ya lazima baada ya kupatikana na hatia ya kuivua Hijabu ya mwanafunzi wake Mwislamu.
Habari ID: 3471269    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/18

TEHRAN (IQNA)-Indonesia imetangza mpango wa kuzindia misikiti 1,000 ya 'kijani' kwa maana kuwa kwa maana kuwa ujenzi na utumizi wake umezingatia utunzwaji mazingira.
Habari ID: 3471268    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/18

TEHRAN (IQNA)-Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamelaani matamshi ya afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambaye amezitaka nchi za Ulaya ziwe na udhibiti katika misikiti ili kuzuia hujuma za “kigaidi”.
Habari ID: 3471267    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/17

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa masuala ya Familia na Wanawake Malaysia Seri Rohani Abdulkarim amekosoa hatu ya baadhi ya hoteli nchini humo kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa Hijabu wakiwa kazini.
Habari ID: 3471266    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/16

TEHRAN (IQNA)-Baba nchini Saudi Arabia amemsamehe muuaji wa mwanae kwa sharti kuwa ahifadhi Qur'ani kikamilifu.
Habari ID: 3471265    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/16

Tehran (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia mshikamano wa viongozi kwa wahanga wa tetemeko la ardhi katika ngazi ya utendaji sambamba na kuendelea kutolewa misaada kwa watu hao ili kuweza kupunguza matatizo yao.
Habari ID: 3471264    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/15

TEHRAN (IQNA)- Waislamu 7 wameuawa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa katika hujuma dhidi yao mjini Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Habari ID: 3471263    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/14

TEHRAN (IQNA)- Duru a pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3471262    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/13

TEHRAN (IQNA)- Rais Reccep Tayyip Erdogan wa Uturuki amekosoa vikali matamshi Mrithi wa Kiti cha Ufalme Saudia Mohammad Bin Salman kuhusu kile alichodai kuwa ni "Uislamu wa misimamo ya wastani."
Habari ID: 3471259    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/12

TEHRAN (IQNA)-Tafrani iliibuka Ijumaa katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Ufaransa Paris, baada ya baadhi ya wakazi wa mji kujaribu kuwazuia Waislamu kuswali Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3471258    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/11

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)-Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amesema kujiuzulu Waziri Mkuu wa nchi hiyo Saad Hariri kumetokana na kulazimishwa na utawala wa Saudi Arabia na kubainisha kwamba: muamala wa udhalilishaji aliofanyiwa Waziri Mkuu wa Lebanon na utawala wa Aal Saud ni sawa na kuwadhalilisha Walebanon wote.
Habari ID: 3471257    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/11

TEHRAN (IQNA)-Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametakiwa amuachilie huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anashikiwa kwa miaka miwili sasa bila kufunguliwa mashtaka baada ya wanajeshi kuvamia makao yake na kumjeruhi vibaya.
Habari ID: 3471256    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/10

TEHRAN, (IQNA)-Leo mamilioni ya watu wanashiriki katika maombolezo kwa munasaba wa Arubaini ya Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS, ambapo kilele cha maombolezo hayo ni Karbala, Iraq.
Habari ID: 3471255    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/09

TEHRAN (IQNA)-Vijana Wazungu Waingereza wenye misimamo ya kibaguzi na chuki dhidi ya Uislamu wanapata mafunzi ya kijeshi, televisheni ya ITV imefichua.
Habari ID: 3471254    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/08

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Marywood katika jimbo la Pennsylvania nchini Marekani kimepanga kuandaa ‘Siku ya Kuvaa Hijabu’ mnamo Novemba 15.
Habari ID: 3471253    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/07

TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa pili wa kimataifa kuhusu qiraa au usomaji wa Qur’ani Tukufu umefanyika katika mji wa Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3471252    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/07