TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Somalia hivi karibuni wameshiriki katika khitma ya Qur’ani Tukufu ya mwalimu maarufu wa Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3471227 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/22
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Imelaani hujuma za kigaidi zilizolengamisikiti miwili katika miji ya Kabul na Ghor nchini Afghanistan siku ya Ijumaa na kuuawa waumini zaidi ya 80.
Habari ID: 3471226 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/22
TEHRAN (IQNA)-Idadi kubwa ya nakala za Qur'ani zimepatikana hivi karibuni zikiwa zimetupwa katika mtaro wa maji taka katika mtaa mmoja katika mji wa Taif, Saudi Arabia.
Habari ID: 3471224 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/21
TEHRAN (IQNA)-Wafungwa Waislamu na wale wenye asili ya Afrika ndio wanaodhulumiwa zaidi katika jela za Uingereza.
Habari ID: 3471223 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/20
TEHRAN (IQNA)-Daktari Ahmed Ahmed Nuaina ni Qarii mashuhuri wa Qur'ani Misri na anatambuliwa kuwa miongoni wasomaji bora wa Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3471222 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/19
TEHRAN (IQNA)-Kijana mwenye umri wa miaka 11 nchini Bangladesh amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa siku 86.
Habari ID: 3471221 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/18
TEHRAN (IQNA)-Taasisi ya Misaada ya Qatar imesambaza nakala 4,000 za Qur'ani Tukufu zenye hati ya Braille ambayo hutumiwa na watu wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3471220 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/17
TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika magereza ya Australia wanakabiliwa na mateso, udhalilishaji na ukandamizaji mikononi mwa maafisa wa gereza.
Habari ID: 3471219 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/16
TEHRAN (IQNA)-Askofu wa kanisa moja nchini Kenya amesilimu pamoja na wafuasi wake kadhaa na kuligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
Habari ID: 3471218 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/15
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wa Kikristo wa kundi la anti-Balaka wameua Waislamu 25 ndani ya msikiti katika mji wa Kembe kusini mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Habari ID: 3471216 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/14
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Thomas de Maiziere amependekeza kuwa sikukuu za Kiislamu zitambuliwe rasmi na zisherehekewe nchini humo.
Habari ID: 3471215 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/14
TEHRAN (IQNA)-Shirika moja la kutetea haki za binadamu linasema serikali ya Myanmar inazuia kwa makusudi chakula kuwafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya kwa lengo la kuwalazimisha kukimbia ardhi yao ya jadi nchini humo.
Habari ID: 3471214 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/13
TEHRAN (IQNA)- Watoto katika mji wa Istanbul Uturuki wametunukiwa zawadi ya baiskeli kwa kushiriki katika sala ya jamaa msikitini kwa siku 40 mfululizo.
Habari ID: 3471213 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/12
TEHRAN (IQNA)-Serikali ya China imefunga duka moja maarufu la vitabu vya Kiislamu na kumtia mbaroni mmiliki wa duka hilo kwa tuhuma za ugaidi.
Habari ID: 3471212 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/11
Sayyed Hassan Nasrallah:
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inazuia kuangamizwa kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh au ISIS huko Syria na inalisaidia kundi hilo kwa silaha kupitia kituo vituo vyake vya kijeshi vilivyo Syria kinyume cha sheria.
Habari ID: 3471211 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/10
TEHRAN (IQNA)-Jengo la Taj Mahal nchini India, moja kati ya Maajabu Saba ya Dunia, na ambalo huwavutia watalii wasiopungua milioni sita kwa mwaka limeondolewa katika orodha ya vivutio vya kitalii kwa sababu ni turathi ya Kiislamu.
Habari ID: 3471210 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/10
TEHRAN (IQNA)-Hujuma ya kigaidi hivi karibuni katika mji wa Las Vegas nchini Marekani imetajwa kuwa ufyatuaji risasi mbaya zaidi hadharini nchini na pia tukio hilo limeashiria kuwepo hisia mseto dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3471208 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/08
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa hatimaye umeiweka Saudi Arabia katika orodha nyeusi ya nchi zinazokiuka haki za watoto duniani kutokana na mauaji yanayotekelezwa na Jeshi la Saudia na waitifake wake dhidi ya watoto wa Yemen
Habari ID: 3471207 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/07
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Iraq limefanikiwa kuukomboa mji wa kistratijia wa Hawija ambao ulikuwa ngome kuu ya mwisho ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini humo.
Habari ID: 3471206 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/06
Kiongozi Muadhamu katika mkutano wa Rais wa Uturuki:
TEHRAN (IQNA)-Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano alionana na Rais Recep Tayyip Erdogan na ujumbe alioandamana nao hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3471205 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/05