iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Kila mwaka mamilioni ya Mahujaji kutoka kila kona ya dunia humiminika katika Mji Mtakatifu wa Makka kwa ajili ya Ibada ya Hija.
Habari ID: 3471138    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/23

TEHRAN (IQNA)-Baraza la Waislamu Uingereza linataka gazeti la The Sun nchini humo lichukuliwe hatua kwa kuandika makala yenye kuchochea hisia dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3471137    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/23

TEHRAN (IQNA)- Agosti 21 miaka 48 iliyopita, yaani mwaka 1969 Miladia, Msikiti wa al-Aqsa Kibla cha Kwanza cha Waislamu ulihujumiwa na kuteketezwa moto na Wazayuni kwa himaya ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3471136    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/22

TEHRAN (IQNA)-Tamasha la Chakula Halal limefanyika mjini London kwa mafanikio kati ya Agosti 19-20.
Habari ID: 3471135    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/21

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Qur’ani kinatazamiwa kuanzishwa nchini Malaysia katika jimbo la Baling baada ya mbunge wa eneo hilo kuahidi kutenga ardhi ya hekari 12.8 kwa ajili ya mradi huo.
Habari ID: 3471134    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/21

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Uhispania wana wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu kufuatia hujuma ya kigaidi mjini Barcelona ambayo magaidi wa ISIS walidai kuhusika nayo.
Habari ID: 3471132    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/20

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya tano ya Qur’ani ya wanawake yanafanyika wiki hii nchini Libya.
Habari ID: 3471131    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/20

TEHRAN (IQNA)- Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayoashiria kutaka Waislamu wauawe kwa kutumia risasi zilizotumbukizwa kwenye damu ya nguruwe.
Habari ID: 3471130    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/19

IQNA (TEHRAN)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, lengo la vitendo vinavyofanywa na kundi la kigaidi la ISIS ni kuchafua haiba na sura halisi ya Uislamu.’
Habari ID: 3471129    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/19

TEHRAN (IQNA)- Hatimaye baada ya mashinikizo, Saudi Arabia imeafiki kufungua mpaka wake wa pamoja wa ardhini na Qatar kuruhusu mahujaji kutoka nchi hiyo kuelekea kwenye ardhi tukufu za Makka na Madina kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.
Habari ID: 3471128    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/18

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Syarif Hidayatullah mjini Jakarta, Indonesia kimepanga kuandaa kongamano la kimataifa la Qur’ani na Hadithi baadaye mwaka huu.
Habari ID: 3471127    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/17

TEHRAN (IQNA)-Wafungwa 21,000 wanaoshikiliwa katika magereza ya Iran wamehifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471126    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/16

TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia mjini Nairobi umezindua televisheni ya kwanza ya Kiislamu nchini Kenya.
Habari ID: 3471125    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/16

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Zimbabwe kimeandaa warsha ya “Uislamu na Ukristo” mjini Harare.
Habari ID: 3471124    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/16

TEHRAN (IQNA)-Surah Yasin katika Qur’ani Tukufu itakuwa maudhui kuu katika tukio la Saa ya Qur’ani (#QuranHour) ambalo limeandaliwa kimataifa Agosti 31.
Habari ID: 3471123    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/15

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuwa, kushindwa na kufedheheka vitaukumba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita yoyote ile itakayotokea, zaidi ya kushindwa kulikoukuta katika vita vya siku 33 vya mwaka 2006.
Habari ID: 3471122    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/14

TEHRAN (IQNA)- Hatimaye Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Saudi Arabia usitishe jinai na hujuma zake dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471119    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/13

TEHRAN (IQNA)-Mkurugenzi wa Jumba la Makumbusho la Qur’ani Tukufu katika mji wa Madina nchini Saudi Arabia limetembelewa na wageni milioni mbili katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Habari ID: 3471118    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/11

TEHRAN (IQNA)-Mabuddha nchini Myanmar wamewazuia Waislamu 21 wa kabila la Rohingya kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471117    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/10

Ewe Mwenyezi Mungu, Kwa hakika nakuomba umsalie Muhammad SAW. Mtume wa Rehma zako na neno la nuru yako, Ujaze moyo wangu nuru ya yakini, na kifua changu nuru ya Imani.
Habari ID: 3471115    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/10