iqna - Ukurasa 57

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya 5 ya Qur'ani Tukufu yemamalizika Stockholm nchini Sweden Jumapili kw akutangazwa washindi.
Habari ID: 3471166   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/11

TEHRAN (IQNA)-Mwanasiasa wa cha chama cha Democrats nchini Sweden amewakasirisha wengi kwa kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471165   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/10

TEHRAN (IQNA)-Uchunguzi mpya wa hivi karibuni unaonyesha kwamba, vijana Waislamu wanaoishi nchini Uingereza wamekuwa waathirika wakubwa wa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na ubaguzi kuanzia shuleni, vyuo vikuu na hata maeneo ya kazi.
Habari ID: 3471164   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/09

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa kusaidiwa Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa na kuuawa kwa umati nchini Myanmar.
Habari ID: 3471163   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/08

TEHRAN (IQNA)-Mfanyabiashara wa kike Mfaransa ambaye pia ni mama mzazi, Bi Samira Amarir, kwa muda mrefu alikuwa anatafuta bila mafanikio vitu mbali mbali vya watoto kuchezea, ambavyo vingeimarisha imani ya Kiislamu ya binti yake, hatimaye aliamua kujibunia yeye mwenyewe.
Habari ID: 3471162   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/07

TEHRAN (IQNA)-Mwanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon amesema kunahitajika hatua za kivitendo kusitisha mauji ya umati ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3471161   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/06

TEHRAN (IQNA)-Watoto wa jamii wa Waislamu Warohingya walitoroka ukatili Myanmar na kupata hifadhi Bangladesh wamepata fursa ya kujifunza Qur’ani Tukufu katika kambi za wakimbizi.
Habari ID: 3471160   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/05

TEHRAN (IQNA)-Uislamu unaenea kwa kasi sana Nepal, nchi ambayo aghalabu ya wakaazi wake wengi ni Wahindi au Mabaniani.
Habari ID: 3471159   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/05

TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Mabuddha wenye misimamo mikali nchini Myanmar umewaua kwa umatu Waislamu karibu 3,000 huku taasisi zote za Umoja wa Mataifa za kuwafikishia misaada ya dharura Waislamu zikizuiwa.
Habari ID: 3471157   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/04

TEHRAN (IQNA)-Mamia ya wananchi wa Bahrain wameshiriki katika maandamano nchini humo wakitaka wafungwa wote wa kisiasa waachiliwe huru.
Habari ID: 3471156   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03

TEHRAN (IQNA)-Msikiti ambao ungali unajengwakusini mashariki mwa Uholanzi umeshambuliwa na watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471155   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03

TEHRAN (IQNA)-Mahujaji kutoka Marekani, Uingereza na Canada walioshiriki katika Ibada ya Hija wamebainisha wasiwasi wao kuhusu sera za chuki dhidi ya Waislamu za Rais Donald Trump wa Marekani.
Habari ID: 3471154   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03

TEHRAN (IQNA)-Mwanamfalme Khalid al Faisal ambaye ni amiri wa mji mtakatifu wa Makka amewataja Wairani kuwa ndugu wa kidini wa watu wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3471153   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03

Watu zaidi ya milioni 15 kote Iran wameshiriki katika mpango wa kitaifa wa kusoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471152   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/02

Habari ID: 3471151   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/01

Kiongozi Muadhamu katika Ujumbe kwa Mahujaji
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei leo ametoa ujumbe kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3471150   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/31

Msomi wa Malaysia
TEHRAN (IQNA)-Msomi mmoja nchini Malaysia amesema kuwa tafsiri potovu za Uislamu zimevuruga uthabiti katika nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia na kuongeza kuwa, chanzo cha tatizo hilo ni walimu waliosoma Uwahabbi unaonezwa na Saudi Arabia.
Habari ID: 3471149   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/30

TEHRAN (IQNA)-Idadi ya Mahujaji mwaka ni 410,000 zaidi ya waka uliopita huku Waislamu kutoka kila kona ya dunia wakiwa katika mji mtukufu wa Makka kutekeleza ibada hiyo ya kila mwaka.
Habari ID: 3471148   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/29

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameitaka Mynmar iheshimu haki za jamii ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
Habari ID: 3471145   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/28

TEHRAN (IQNA)-Bi. Baiq Mariah kutoka Indonesia ametmabuliwa kuwa Hujaji mwenye umri wa juu zaidi mwaka huu.
Habari ID: 3471144   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/27