iqna

IQNA

IQNA-Mwenyekiti wa Jumuiya ya Quraa (Wasomaji) wa Qur’ani Tukufu nchini Misri amesisitiza umuhimu wa kuwafunza watoto Qur’ani wakiwa wangali wachanga.
Habari ID: 3470671    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12

Ustadh Ahmed Ahmed Nuaina
Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri amesema mafundisho ya Qur’ani yanapaswa kutekelezwa katika sekta zote za maisha.
Habari ID: 3470527    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/17

Majaji katika Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran wametangaza kuwa qarii mshiriki kutoka Tanzania amepata nafasi bora zaidi kwa mtazamo wa 'Saut na Lahn' katika usomaji wake wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470317    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/18

Sheikh Mohammad Ayub ibn Yusuf, msomaji na qarii wa Qur'ani Tukufu katika Al-Masjid an-Nabawi mjini Madina ameaga dunia leo Aprili 16 akiwa na umri wa miaka 65.
Habari ID: 3470249    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/16

Qarii mashuhuri na mtajika wa Misri, Ustadh Dkt. Abdul Fattah Tarouti ametuma salamu zake za rambi rambi kufuatia kurejea kwa Mola wao ma qarii hao wawili wa kimataifa waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372198    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27

Ma qarii wa Qur'ani kutoka pembe mbali mbali duniani hasa Misri wanaendelea kuomboleza vifo vya ma qarii wawili mashuhuri wa Iran waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372181    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27

Qarii mashuhuri wa Iran aliokuwa katika msafara wa Qur'ani wa mahujaji amethibitishwa kuaga dunia kufuatia msongamano mkubwa wa mahujaji katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3370739    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/26

Mwakilishi wa Saudi Arabia katika Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ameyataja mashindano hayo kuwa nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu.
Habari ID: 3306138    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21

TEHRAN-IQNA- Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yamemalizika Jumapili mjini Tehran huku wawakilishi wa Iran na misri wakichukua nafasi za kwanza katika qiraa na hifdhi kwa taratibu.../mh 2671946
Habari ID: 2672141    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/05

Katika siku ya tano ya ‘Wiki ya Qur’ani kwa Himaya ya Iran’ , hafidh na qarii wa Qur’ani kutoka Iran wamesomba mbele ya mjumuiko wa mabalozi wa nchi za Kiislamu huko nchini Uganda.
Habari ID: 1433643    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/26

‘Wiki ya Qur’ani kwa Hisani ya Iran’ imeandaliwa nchini Uganda kwa himaya ya Idara ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uganda.
Habari ID: 1432796    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/23

Muungano wa Wasomaji Qurani Tukufu nchini Misri umemfutia uanachama wa muungano huo Sheikh Farajullah al Shadhilii mmoja kati ya wasomaji Qurani Tukufu mashuhuri nchini Misri kwa sababu tu ya kuadhini kwenye Msikiti wa Kishia nchini Iraq.
Habari ID: 1407016    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/15