TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Sayyid Said alitembelea Iran mwaka 2007 na kusema Qur'ani Tukufu katika mji wa Zanjan.
Habari ID: 3472963 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/14
TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya qarii maarufu wa Misri marhum Sheikh Sayed Mutawalli Abdul Aal katika mji wa Tabriz, Iran imesambazwa katika mitandao ya intaneti hivi karibuni.
Habari ID: 3472951 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/11
TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya hivi karibuni ya Qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri Sheikh Ahmad Ahmad Al Nuaina aliposoma aya katika Sura za A-Duha na Al-Inshirah.
Habari ID: 3472937 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur’ani nchini Misri, Sheikh Abdul Fattah Taruti amesoma Qur’ani Tukufu akiwa amevaa barakoa.
Habari ID: 3472906 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/28
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mohammad Badr Hussein alikuwa qarii mashuhuri wa Misri katika zama zake.
Habari ID: 3472869 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/16
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Bujuma Albaz, Imamu na Khatibu katika Msikiti wa Mohammad wa Sita katika mji wa Bouznika ana sauti nzuri na yenye mvuto ya kusoma Qur'ani yenye kushabihiana na ile ya qarii mashuhuri wa Misri Abdul Basit Abdul Swamad.
Habari ID: 3472778 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/18
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Mahmoud Tablawi ameaga dunia Jumnne akiwa na umri wa miaka 86.
Habari ID: 3472743 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri Sheikh Muhammad Mahmoud Asfour ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 82.
Habari ID: 3472678 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/18
TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji) maarufu wa Qur’ani Tukufu kutoka Saudi Arabia, Abubakr al-Shateri ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472622 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/01
Leo Katika Historia
TEHRAN (IQNA) - Katika siku kama ya leo miaka 31 iliyopita, aliaga dunia katika mji wa Cairo Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Samad, mmoja wa waalimu na ma qarii wakubwa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3472244 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/30
TEHRAN (IQNA)-Qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya ambaye ameshiriki katika Mashindano 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amesema mashindano hayo yanaimarisha umoja baina ya Waislamu.
Habari ID: 3471920 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/18
TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri, Sheikh Mahmoud Ismail Sharif, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 75.
Habari ID: 3471630 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
“Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na Kwake Yeye tutarejea"
TEHRAN (IQNA)-Sheikh Shaaban al Jundi, qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka mkoa wa Beni Suef nchini Misri ameaga dunia hivi karibuni baada ya kuadhini katika moja ya misikiti ya mkoa huo.
Habari ID: 3471312 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/17
TEHRAN (IQNA)-Daktari Ahmed Ahmed Nuaina ni Qarii mashuhuri wa Qur'ani Misri na anatambuliwa kuwa miongoni wasomaji bora wa Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3471222 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/19
Inna Lillah wa Inna Ilahyi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri, Sheikh Mohammad Abdul Wahhab el-Tantawi ameaga dunia akiwa na umri wa zaidi ya miaka 70.
Habari ID: 3471089 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/27
TEHRAN (IQNA)-Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Uturuki, Sheikh Abdullah Hatipoglu aliaga dunia Jumapili akiwa na umri wa miaka 88.
Habari ID: 3471086 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/26
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri Ustadh Farajullah Al-Shadhili ameaga dunia Jumatatu tarehe 10 Ramadhani, sawa na 5 Juni.
Habari ID: 3471010 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/06
IQNA-Ashraf al-Taish qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri ameibuka miongoni mwa wasomaji bora wa Qur'ani katika nchi hiyo ambayo ni chimbuko la wasomaji bora zaidi wa Qur'ani duniani.
Habari ID: 3470826 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01
IQNA: Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Muhammad Sharafeddin aliyepata umaarufu kwa mbinu yake ya Ibtihal ameaga dunia.
Habari ID: 3470814 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/26
IQNA-Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 80.
Habari ID: 3470733 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10