tilawa

IQNA

IQNA – Ingawa kipindi cha vipaji vya Qur’ani cha Misri “Dawlat El‑Tilawah" bado hakijafikia hatua ya fainali, Maqari au wasomaji wawili waliobainika kwa umahiri wao katika kipindi hicho walitunukiwa zawadi katika hafla rasmi iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Cairo.
Habari ID: 3481917    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/11

IQNA – Omar Ali Awad ametangazwa na kutunukiwa tuzo ya “Tawi la Dhahabu” katika shindano la vipaji vya Qur’ani lijulikanalo kama “Dawlet El Telawa (Hali ya Usomaji)” nchini Misri.
Habari ID: 3481903    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/08

IQNA – Msimamizi mkuu wa mashindano ya vipaji vya Qur’ani nchini Misri, maarufu kwa jina “Dawlat al-Tilawa”, ametangaza kuwa msimu mpya wa kipindi hicho kitaanza rasmi Novemba 2026.
Habari ID: 3481784    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/08

IQNA – Kipindi cha 12 cha mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Dawlat al-Tilawa nchini Misri kiligeuka safari ya kiroho na kihisia, ambapo simulizi binafsi ziliungana na sauti za mbinguni, zikazalisha athari ya kina iliyogusa nyoyo za kila msikilizaji.
Habari ID: 3481773    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/06

IQNA--Katika kipindi cha wiki hii cha televisheni ya Qur’an nchini Misri, Dawlat al-Tilawa, sehemu maalum ilitengwa kumuenzi marehemu Qari mashuhuri Sheikh Mustafa Ismail kwa huduma zake za Qur’ani.
Habari ID: 3481691    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/21

IQNA – Katika vipindi vipya vya shindano la vipaji vya Qur’ani nchini Misri linaloitwa “Dawlat al-Tilawa” , washiriki walionyesha uwezo wao wa kusoma na kuhifadhi aya za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3481634    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/09

IQNA-Mahmoud Al-Toukhi, msomaji mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri, ametoa nakala ya usomaji wake wa Tarteel kwa Idhaa ya Qur’ani ya Kuwait.
Habari ID: 3481569    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/26

IQNA – Kipindi cha televisheni cha Qur’ani Tukufu nchini Misri, “Dawlet El Telawa”, kimepata mafanikio makubwa baada ya kurushwa sehemu nne pekee.
Habari ID: 3481568    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/26

IQNA-Kisomo cha Qur'an Tukufu ni kama nadhiri ya mbinguni — kila aya inayosomwa huleta thawabu kubwa, na kusikilizwa kwake hujaza utulivu ndani ya moyo.
Habari ID: 3481197    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/07

TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Yusuf ni mvulana mwenye umri wa miaka sita kutoka Libya ambaye ana ustadi mkubwa katika kusoma Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474378    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/04

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya tilawa ya Qur'ani Tukufu ya Qarii kutoka Japan imeenea katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473091    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/22