IQNA

13:22 - August 22, 2020
Habari ID: 3473091
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya tilawa ya Qur'ani Tukufu ya Qarii kutoka Japan imeenea katika mitandao ya kijamii.

Tilawa hii ya Qur'ani yenye mvuto ya qarii huyu ambayo jina lake halijatajwa ni ya aya za Surah Ad-Dukhan.  

 

  

3917420

Kishikizo: tilawa ، japan ، qurani tukufu ، qarii
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
* captcha: