iqna

IQNA

uhusiano
IQNA - Wanazuoni waandamizi wa Kiislamu nchini Yemen katika taarifa wamesisitiza kuwa ni Haramu kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478131    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02

Diplomasia ya Kiislamu
IQNA - Balozi wa Iran mjini Riyadh alikutana na Waziri wa Masuala ya Kiislamu wa Saudia Jumatatu na kujadili uhusiano kati ya nchi hizo mbili na changamoto zinazoukabili ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3478060    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya kulaani kikao cha Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel, Waziri Mkuu wa Libya amesema: Tripoli inaunga mkono suala la ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3477534    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01

Uchambuzi
Sambamba na kufufuliwa uhusiano wa kisiasa na kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Saudi Arabia, ubalozi wa Iran mjini Riyadh ulifunguliwa tena Jumanne, Juni 6 baada ya kufungwa kwa miaka saba.
Habari ID: 3477121    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08

Ulimwengu wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia zimefikia makubaliano ya kurejesha uhusiano wao wa kidiplomasia na kufungua tena balozi, miaka saba baada ya kuvunjika uhusiano huo kutokana na masuala kadhaa.
Habari ID: 3476685    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/10

Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Alkhamisi tarehe 26 Mei, 2022, Bunge la Iraq lilipasisha kwa kauli moja sheria ya kutambua kuwa ni uhalifu, hatua yoyote ya kuweka uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475306    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza tamko la Waziri wa Mambo ya Nje wa Malaysia ambaye amesema nchi yake katu haitaanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474451    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21

TEHRAN (IQNA)- Harakati kadhaa za kupigania ukombozi wa Palestina zimelaani vikali hatua ya ufalme wa Bahrain kumpokea waziri wa mambo ya nje wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474372    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/02

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa mara nyingine tena imeishukuru serikali, makundi ya kisiasa, wazee wa koo na viongozi wa makabila ya Iraq, kwa msimamo wao wa kupinga kuanzishwa mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474355    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/28

TEHRAN (IQNA) – Kadhia ya Sudan kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel inapaswa kujadiliwa upya baada ya mabadiliko katika baraza la mawaziri, amesema mwanachama wa Baraza la Serikali ya Mpito.
Habari ID: 3473665    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/19

TEHRAN (IQNA)- Gazeti moja la Kiebrania limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umetoa sharti kwa Uturuki la kuifunga ofisi ya HAMAS mjini Istanbul ili kuanzisha tena uhusiano kamili na nchi hiyo.
Habari ID: 3473570    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/19

TEHRAN (IQNA) - Wanaharakati wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wameanzisha mkakati wa kupinga uhusiano wa nchi yao na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473095    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/23