iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Wiki kadhaa baada ya kumaliza kujenga Msikiti wa Jamia wa Mji wa Zigoti nchini Uganda, Waislamu wa eneo hilo sasa wameanzisha mkakati wa kupanda miti na kujenga chuo cha Qur’ani kandi ya msikiti huo.
Habari ID: 3473406    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/29

TEHRAN (IQNA) – Televisheni moja nchini Uganda imeandaa kipindi maalumu ambacho kimejadili vizingiti katika kufikia umoja baina ya Waislamu.
Habari ID: 3473386    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/23

TEHRAN (IQNA) – Baraza Kuu la Waislamu Uganda (UMSC) limefanikiwa kumiliki televisheni kwa ajili ya kueneza mafundisho ya Kiislamu na harakati za Kiislamu.
Habari ID: 3473298    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/26

TEHRAN (IQNA)- Wanawake Waislamu nchini Uganda wamemuandikia barua spika wa bunge la nchi hiyo, Bi Rebecca Kadaga wakitaka mabadiliko katika sharia ili kuwaruhusia wanawake Waislamu wavae Hijabu wakati wanapopigwa picha za vitambulisho.
Habari ID: 3473282    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/21

TEHRAN (IQNA) - Sala za Ijumaa zimeanza tena nchini Uganda baada ya kusimamishwa kwa muda wa takribani miezi sita kutokana na maambukizi ya kirusi cha corona.
Habari ID: 3473204    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/26

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa mashindano ya Qur'ani ambayo yaliandaliwa kwa pamoja na Radio Bilal na Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Uganda wametangazwa katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kampala.
Habari ID: 3471994    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/10

TEHRAN (IQNA)- Kongamano lenye anuani ya "Mtume wa Rahma' limefanyika nchini Uganda kwa ushirikiano wa Kituo cha Utamaduni cha Iran, Shirika la Utangazaji lwa Uganda (UBC) na Baraza Kuu la Waislamu Uganda (UMSC).
Habari ID: 3471661    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/06

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 'Zawadi ya Mtume wa Rahma SAW' limepangwa kufanyika 30 Agosti mwaka huu kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la Waislamu Uganda na Shirika la Utangazaji la Uganda, UBC.
Habari ID: 3471570    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/24

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Uganda imeidhinisha sheria za mfumo wa benki za Kiislamu huku benki kuu nchini humo ikitazamiwa kuchapisha rasmi sheria hizo kama sehemu ya mikakati ya kuwashirikisha Waislamu kikamilifu katika mfumo wa kifedha.
Habari ID: 3471381    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/05

TEHRAN (IQNA)-Polisi nchini Uganda wamepata mafunzo kuhusu sheria za familia na watoto katika dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3471270    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/19

TEHRAN (IQNA)-Waalimu wa shule za Kiislamu (Madrassah) nchini Uganda wameshiriki katika warsha ya kuimarisha ujuzi wao.
Habari ID: 3471083    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/24

TEHRAN (IQNA)-Radio Bilal nchini Uganda imeandaa mashindano ya Qur'ani yaliyofanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471040    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/28

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu yatafanyika nchini Uganda katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa ushirikiano wa Ofisi ya Utamaduni ya Iran na Radio Bilal nchini humo.
Habari ID: 3470980    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/14

Kozi ya mafunzo ya Kiislamu katika kipindi cha muda mfupi imemamalizika hivi karibuni nchini Uganda kwa kutolewa zawadi kwa wanafunzi bora.
Habari ID: 3470500    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/07

Waislamu nchini Uganda wamemtaka Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo kubuni wizara mpya ya masuala ya Kiislamu.
Habari ID: 3470480    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29

Huku Waislamu duniani wakiwa katika wiki ya pili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, shirika moja la kutoa misaada ya chakula cha futari kwa watu wasijiweza nchini Uganda.
Habari ID: 3470390    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/16

Idara ya Utamaduni ya Iran nchini Uganda imefadhili mashindano ya Qur'ani Tukufu katika Televisheni ya Kitaifa ya Uganda, UBC.
Habari ID: 3470342    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/28

Mkurugenzi wa Radio Bilal nchini Uganda amekutana na mwambata wa utamaduni wa Iran mjini Kampala na kusema, moja ya majukumu muhimu ya Radio hiyo ni kufundisha Qur'ani Tukufu, kuutangaza Uislamu na midahalo ya kidini.
Habari ID: 3470320    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/19

Mkuu wa Idara ya Utamaduni ya Iran mjini Kampala amekutana na Mufti Mkuu wa Uganda na kujadilia njia za kushirikiana nchi mbili katika harakati za Qur'ani.
Habari ID: 3470252    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/18

Madrassah ya kufundishia Qur’an yenye umri wa zaidi ya karne nchini Uganda, itazamiwa kukarabatiwa upya hivi karibuni ili kuendelea kutumika kwa ajili ya kutoa mafunzo sahihi ya dini ya Kiislamu.
Habari ID: 3353009    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/26