iqna

IQNA

Waislamu nchini Uganda wamezindua televisheni ya kwanza kabisa ya Kiislamu nchini humo na hivyo kuhuisha matumaini ya mwamko mpya baada ya sauti ya Waislamu kukandamizwa kwa muda mrefu na vyombo vya habari nchini humo.
Habari ID: 3351062    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/24

Kituo cha Utamaduni cha Iran Uganda kinatoa mafunzo maalumu kwa walumu wa Qur’ani katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Habari ID: 3321660    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/01

Uganda itakuwa mwenyeji wa kikao cha kwanza cha kitaalamu kuhusu ‘Nafasi ya Misimamo ya Wastani ya Kidini Katika Kufikia Ulimwengu Usio na Machafuko’.
Habari ID: 3313360    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/12

Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Kampala, Uganda kinashirikiana na Televisheni ya kitaifa ya nchi hiyo UBC TV katika kutayarisha pamoja vipindi vya Qur'ani na vya maudhui za kidini.
Habari ID: 3312613    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/09

Kiongozi mwandamizi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Uganda Sheikh Ductoor Abdul Qadir Sudi Muwaya aliuawa shahidi Alkhamisi iliyopita. Mkuu wa polisi nchini humo ametangaza kuwa uchunguzi wa kina utafanyika kubainisha aliyetekeleza mauaji hayo.
Habari ID: 2646978    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/29

Katika siku ya tano ya ‘Wiki ya Qur’ani kwa Himaya ya Iran’ , hafidh na qarii wa Qur’ani kutoka Iran wamesomba mbele ya mjumuiko wa mabalozi wa nchi za Kiislamu huko nchini Uganda.
Habari ID: 1433643    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/26

Taasisi ya Imam Hussein AS katika eneo la Bugiri Mashariki mwa Uganda ni moja ya vituo muhimu zaidi vya kuhubiri Uislamu na maarifa ya Ahul Bayt AS katika eneo hilo.
Habari ID: 1432798    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/23

‘Wiki ya Qur’ani kwa Hisani ya Iran’ imeandaliwa nchini Uganda kwa himaya ya Idara ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uganda.
Habari ID: 1432796    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/23

Kwa mara ya kwanza, Dua Tawwasul imetarjumiwa na kuchapishwa kwa lugha ya Kiganda nchini Uganda.
Habari ID: 1432795    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/23

Iwapo Waislamu wa maeneo yote duniani wataweka kando migongano yao na kushikamana na Kamba ya Allah, yaani Qur'ani Tukufu, basi ulimwengu wa Kiislamu utashuhudia ustawi mkubwa na wa kasi katika nyanja zote.
Habari ID: 1412786    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/31

Spika wa Bunge la Uganda ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuzingatia zaidi suala la malezi ya vijana hasa wale ambao wanajihusisha na shughuli za kisayansi na kiufundi.
Habari ID: 1377673    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/20