iqna

IQNA

Mtazamo
IQNA – Mkataba wa Abrahamu wa Trump (ujulikanao pia kama "UAbrahamu wa Trump"), ambao unalenga kudhoofisha dini na haki za kitaifa za Wapalestina, hauwezi kufikia malengo yake, kwa mujibu wa mchambuzi wa kisiasa kutoka Lebanon.
Habari ID: 3480922    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/09

Jinai za Israel
IQNA – Jumla ya wanawake na watoto 90 wa Kipalestina waliachiliwa kutoka magereza ya kuogofya ya Israel mapema Jumatatu kama sehemu ya kubadilishana wafungwa iliyohusishwa na makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Hamas na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3480083    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20

Muqawama
IQNA - Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya utawala katili wa Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, yameanza kutekelezwa huku siku 471 za mauaji ya kimbari ya Israel yakipelekea zaidi ya Wapalestina 46,800 kuuawa huko Gaza.
Habari ID: 3480076    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/19

Muqawama
IQNA – Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesema kuwa utawala wa Kizayuni umelazimika kusitisha mapigano na Harakati ya Kiislamu ya Ukombozi wa Palestina, Hamas, huko kwa sababu ya udhaifu na kukata tamaa. Hii ni moja ya heshima za mstari wa mbele wa upinzani, alisema Hujjatul-Islam Gholam Hossein Mohseni Ejei, akihutubia mkutano wa 13 wa "Gaza; Alama ya Muqawama" jijini Tehran.
Habari ID: 3480073    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/18

Jinai za Israel
IQNA-Idara ya Ulinzi wa Raia ya Gaza imetangaza leo Ijumaa kuwa Wapalestina wasiopungua 101, wakiwemo watoto 27 na wanawake 31, wameuawa shahidi katika mashambulizi ya Israel tangu kutangazwa makubaliano ya kusitisha mapigano juzi Jumatano.
Habari ID: 3480064    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/17

Kadhia ya Palestina
IQNA-Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema kuwa, kulazimika utawala wa Kizayuni kukubali kusimamisha vita na kukomesha mauaji yake ya kimbari dhidi ya wananchi wa Ghaza, ni matunda ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kusimama imara wananchi wa ukanda huo kwa zaidi ya miezi 15.
Habari ID: 3480062    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/16

Muqawama
IQNA- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina (Hamas) imeidhinisha pendekezo la kusimamisha mapigano kwa Ukanda wa Gaza ambayo yamefikiwa kwa upatanishi wa Misri na Qatar.
Habari ID: 3480060    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/15

TEHRAN (IQNA) – Nchi za mashariki mwa Afrika zimepongeza makubaliano ya amani baina ya Serikali ya Mpito ya Sudan na Muungano wa Harakati ya Kimapinduzi kutoka jimbo la Darfur na katika majimbo ya kaskazini ili kuhitimisha mgogoro wa miaka 17 nchini humo.
Habari ID: 3473134    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/03