IQNA – Zeynab al-Sadat Savadkouhi, binti aliyehifadhi Qur’ani Tukufu, amebainisha jinsi kujikita kwake kwa kina katika kitabu kitakatifu kumeathiri kwa kiwango kikubwa maisha yake ya kitaaluma na binafsi.
Habari ID: 3480730 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/24
Qur'ani Katika Maisha
IQNA – Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 anasema kuhifadhi Quran Tukufu kumemsaidia kupata mafanikio zaidi shuleni.
Habari ID: 3479941 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23
TEHRAN (IQNA)- Binti Mmisri ameshinda mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’ani ambayo yameandaliwa na Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini humo.
Habari ID: 3474364 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/30
TEHRAN (IQNA) – Binti Muirani, Hannaneh Khalafi, ambaye ametajwa kuwa bingwa wa Qur'ani, ataanza kutoa mafunzo ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3473495 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26
Binti Mturuki mwenye umri wa miaka 12 wamefanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa miezi mitatu tu.
Habari ID: 3332177 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/22