iqna

IQNA

Muqawa
IQNA-Zaidi ya walowezi haramu milioni moja wamekimbilia katika mahandaki huku wakiwa na hofu na wahka mkubwa baada ya kombora lililorushwa kutoka upande wa Yemen kutua katika eneo kubwa zaidi la mji wa Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandi la Israel.
Habari ID: 3479920    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19

TEHRAN (IQNA)- Mlipuko mkubwa umejiri katika kiwanda nyeti cha utawala wa Kizayuni wa Israel ambacho hutumika kutengeneza ma kombora .
Habari ID: 3473840    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/22

Utawala haramu wa Israel unapanga kuipatia Saudi Arabia msaada mkubwa wa ma kombora ili kufanikisha vita vyake dhidi ya watu wa Yemen.
Habari ID: 3306968    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/24

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ni upumbavu wa mwisho wa adui kudhani kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itawekea mipaka na kikomo mipango yake ya ma kombora .
Habari ID: 1406354    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/12