ramadhani - Ukurasa 18

IQNA

Maonyesho ya 23 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yatafunguliwa katika siku za awali za mtukufu wa Ramadhani katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
Habari ID: 3315145    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/16

Mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Palestina amewataka Waislamu wahudhurie kwa wingi katika msikiti mtukufu wa al Aqsa wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3314849    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/16

Baraza la Fatwa Ulaya
Barani Ulaya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unatazamiwa kuanza Alkhamisi Juni 18. Tangazo hilo limetolewa na Baraza la Fatwa na Utafiti Ulaya (EFCR) kwa mujibu wa mahesabu ya kifalaki.
Habari ID: 3311365    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/06

Baadhi ya Waislamu katika nchi za Iraq, Uturuki, Qatar, Misri, Saudi Arabia na Bahrain leo wanasherehekea sikukuu ya Idul Fitr baada ya kutangazwa rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani katika nchi hizo.
Habari ID: 1434339    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/28

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Marekani na Uingereza zinaunga mkono hujuma inayoendelea ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 1428809    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/13

Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu OIC na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) zimetaka kusimamishwa mapigano huko Syria katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1424844    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/01

Pendekezo la Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi zote za Kiislamu duniani kwa munasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo amewataka wautangaze mwezi wa Ramadhani mwaka huu kuwa ni 'Ramadhani ya Amani na Rahma'.
Habari ID: 1423410    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/28