Rais wa Iran katika ujumbe wa Ramadhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kushirikiana ili kukabiliana kukabiliana na wale misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3470366 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07
Baadhi ya nchi za Kiarabu zimetangaza tarehe 6 Juni kuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470361 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/06
Mwislamu mmoja mkazi wa mji wa New York Marekani ameanzisha kampeni ya kutuma Aya za Qur'ani Tukufu kwa njia ya mtandao wa kijamii wa Twitter katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470358 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/05
Siku chache zimesalia kabla ya kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Waislamu wanajitayarisha kuukaribisha mwezi huo na kutekeleza ibada ya Saumu au kufunga.
Habari ID: 3470346 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/30
Shirika moja la kutoa misaada nchini Uingereza limeanzisha kampeni ya matangazo yenye mabango ya 'Subhan Allah' kwa ajili ya kushajiisha watu watoe misaada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470304 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/10
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema mwamko wa Waislamu ni nukta muhimu katika mustakabali wa Masharik ya Kati.
Habari ID: 3332314 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/23
Baraza Kuu la Vyombo vya Habari Tunisia limefunga televisheni na radio kadhaa za Kiislamu nchini humo kwa tuhuma kuwa hazina vibali.
Habari ID: 3331856 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/21
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema taifa la Iran litaendelea kuwaunga mkono marafiki zake katika eneo la Mashariki ya Kati kama vile wananchi wa mataifa ya Yemen, Palestina, Bahrain, Iraq, Syria na Lebanon.
Habari ID: 3329110 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18
Shirika la Afya Duniani WHO limeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadmau nchini Yemen na kusema na kusema mkoa wa Aden unakabiliwa na hali maafa ya kiafya.
Habari ID: 3328804 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16
Awamu ya 23 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran yanamalizika Jumanne hii.
Habari ID: 3327645 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13
Waislamu katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa wamemiminika kwa wingi misikitini katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kiasi kwamba baadhi ya barabara zinafungwa kutoa nafasi ziada kwa wanaoswali.
Habari ID: 3325727 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/07
Zaidi ya Waislamu 150 wameuawa katika mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3322598 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/03
Kundi moja la Waislamu wa China wameituhumu serikali ya nchi hiyo kuwa imeanzisha vita visivyo rasmi dhidi ya Waislamu na Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3322211 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/01
Kituo cha Utamaduni cha Iran Uganda kinatoa mafunzo maalumu kwa walumu wa Qur’ani katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Habari ID: 3321660 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/01
Muungano wa Vijana wa Sudan wamezindua 'Mpango wa Rehema' chini ya anwani ya: "Ramadhani Inatuleta Pamoja".
Habari ID: 3318508 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/25
Maoneysho ya 23 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran yamefunguliwa rasmi Jumatano jioni katika hafla iliyohudhuriwa na Waziri wa Utamaduni wa Muongozo wa Kiislamu Iran, maafisa waandamizi wa baraza la mji wa Tehran na wana wanaharakati katika uga wa Qur'ani.
Habari ID: 3318499 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/25
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ametaka kuimarishwa ushirikiano, umoja na udugu wa kidini baina ya nchi zote za Kiislamu duniani.
Habari ID: 3316509 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/20
Serikali ya China imepiga marufuku wanafunzi, walimu na watumishi wa umma katika eneo la Xinjiang lenye Waislamu wengi kutekeleza ibada ya Saumu kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3315931 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/19
Waislamu katika nchi nyingi duniani leo wamenza funga ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3315879 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/18
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, ametoa mkono wa kheri na fanaka kwa maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu duniani kwa mnasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3315773 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/17