TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 22 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Saudi Arabia yatafanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika siku zitakazosadifiana na Aprili 2021.
Habari ID: 3473465 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17
TEHRAN (IQNA) – Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini India amesisitiza umuhimu wa Waislamu kudumisha mafanikio waliyoweza kuyapata katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472804 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/26
TEHRAN (IQNA) – Kila mwaka kwa kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, familia za wenyeji wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati hujumuika pamoja zaidi ya wakati wowote mwingine katika makwa.
Habari ID: 3472782 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19
TEHRAN (IQNA) – Tokea mwaka 1975, Wakristo nchini Misri wamekuwa wakiwatayarishia Waislamu futari katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472769 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/15
TEHRAN (IQNA) – Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa Ibada ambao huwajumuisha Waislamu kwa lengo moja.
Habari ID: 3472764 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/14
TEHRAN (IQNA) - Tokea zama za kale, Waislamu nchini Misri hufyatua mizinga baada ya kuonekana hilalii ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kwa njia hiyo watu wote wapata habari za kuwadhia mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3472760 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/12
TEHRAN (IQNA) – Misikiti 37 nchini Singapore imeungana na kuchanga dola laki sita kwa ajili ya kutoa futari kwa Waislamu wanaofunga saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472749 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/09
TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Kiislamu ya Dar Al-Hijrah ya Virginia nchini Marekani inagawa chakula kwa wanaohitajia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472747 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08
TEHRAN (IQNA) – Mesut Ozil mchezaji soka mashuhuri wa timu ya Arsenal katika Ligi ya Premier ya England ametoa mchango wa dola laki moja za Kimarekani kuwasaidia Waislamu ambao wameathiriwa vibaya na janga la COVID-19 au corona katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472730 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/03
TEHRAN (IQNA) – Asasi za Kiislamu mjini New York nchini Marekani zimeungana na kuanzisha mpango wa kugawa futari kwa wasiojiweza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472726 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/02
TEHRAN (IQNA) – Siku ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem) mwaka huu itaadhimishwa kwa njia ya intaneti kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472710 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/27
TEHRAN (IQNA) - Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amewatumia Waislamu salamu kwa mnasba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472705 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/26
TEHRAN (IQNA) – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu Nigeria (NSCIA) limetangaza marufuku ya mijimuiko yote ya kidini katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472704 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/26
TEHRAN (IQNA) – Elizaveta, bintiye msemaji wa Rais wa Russia Dmitry Peskov ametangaza kuwa atafunga saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472697 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/24
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres, ametegemea aya ya Qur'ani Tukufu katika ujumbe wa kusitishwa vita katika maeneo yenye mapigano duniani kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472696 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/23
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Singapore Lee Hsien Loong amesema ingawa misikiti imefungwa nchini humo, wanazuoni wa Kiislamu na waalamu wa dini watahakikisha kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utaendelea kuwa na mvuto na maana yake halisi.
Habari ID: 3472694 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/23
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Fatwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) limetoa Fatwa kuhusu Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wakati wa janga la corona au COVID-19.
Habari ID: 3472684 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/20
Janga la corona
TEHRAN (IQNA) –Mufti Mkuu wa Saudi Arabia amesema sala zote katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ziswaliwe katika majumbani kutokana na janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472679 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/18
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu katika madhehebu ya Shia nchini Iraq ametoa Fatwa kuhusu kufunga saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wakati huu wa janga la ugonjwa wa corona au COVID-19.
Habari ID: 3472669 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/15
TEHRAN (IQNA) – Darul Iftaa ya Misri imetoa taarifa na kusisistiza kuwa: “Baada ya kushauriana na kamati ya madaktari tumefikia natija kuwa, saumu haichangii katika kuambukizwa corona (COVID-19).”
Habari ID: 3472668 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/15