Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Mkuu wa sehemu ya Hijabu na Ifaf ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran ameleeza kuwa ni moja ya sehemu zinazotembelewa zaidi katika maonyesho hayo ya kila mwaka.
Habari ID: 3478540 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 8 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478538 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19
Utamaduni wa Qur'ani
IQNA – Kipindi maalum cha televisheni cha Mwezi wa Ramadhani cha ‘Mahfel’ ni kazi ya Qur’ani na ndiyo maana kimebarikiwa na Mwenyezi Mungu, mmoja wa wataalamu wa kipindi hicho alisema.
Habari ID: 3478537 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 7 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478536 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18
Ramadhani katika Qur'an /3
IQNA - Moja ya Hadith maarufu zilizosimuliwa kuhusu Ramadhani ni katika khutba ya Mtukufu Mtume (SAW) iliyotolewa katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Shaaban.
Habari ID: 3478535 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18
Al-Masjid an-Nabawi
IQNA – Msikiti wa Mtume (SAW) Al-Masjid an-Nabawi katika mji wa Madina nchini Saudia ulishuhudia Waislamu wengi wakitiririka katika siku za kwanza za mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu, huku zaidi ya waumini milioni 5.2, wakiwemo wanaoshiriki Hija ndogo ya Umrah wakiingia katika msikiti huo kwa ajili ya Sala za kila siku.
Habari ID: 3478532 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn imeanza kurusha mashindano yake ya kwanza la kimataifa la usomaji wa Tarteel wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478531 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Waislamu Marekani
IQNA - Huko Houston, Marekani Waislamu wametangaza kususia hafla ya 25 ya kila mwaka ya Futari ambayo kulalmikia mwaliko kwa viongozi wa serikali.
Habari ID: 3478530 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Waislamu kote duniani wako katika sumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Huu ni mwezi ambao mbali na kufunga, Waislamu hukithirisha vitendo vya ibada, kutoa sadaqa na kujumuika pamoja jioni wakati wa futari.
Habari ID: 3478528 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
IQNA- Katika harakati inayoashiria istiqama, Wapalestina katika Ukanda wa Gaza siku ya Ijumaa walishiriki katika sala ya kwanza ya Ijumaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Machi 15 katika eneo lenye mabaki ya Msikiti wa Rafah ambalo ulibomolewa hivi karibuni katika hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478527 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 6 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478526 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Mwezi wa Ramadhani
IQNA-Neno Ramadhani linatokana na mzizi wa "Ra Ma Dha" na muundo wake wa wingi ni Ramadanat na Armidha. Maana yake ni joto kali na inasemekana Waarabu walipotaka kuitaja miezi ya mwaka, mwezi huu waliupa jina la Ramadhani kwa sababu wakati huo ilikuwa katika kipindi cha mwaka ambapo hali ya hewa ilikuwa ya joto sana.
Habari ID: 3478523 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16
Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Daud Kim, mwimbaji maarufu wa pop wa Korea Kusini na YouTuber, amesimulia namna alivyoukubali Uislamu kuwa muongozo katika maisha yake.
Habari ID: 3478522 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16
Mwezi wa Ramadhani
Hili ni mara ya kwanza qiraa hii inasambazwa mitandanoni kwa ajili ya kuinua hali ya kiroho kwa waumini ulimwenguni.
Habari ID: 3478521 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16
Qur'ani Tukufu katika Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Mtaalamu wa Qur’ani na qari wa Syria amesifu “Mahfel”, kipindi cha Televisheni cha Qur’ani kinachorushwa na Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kuhimiza watu kujifunza Qur’ani.
Habari ID: 3478519 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 4 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478518 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya mwisho ya toleo la 27 la Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) inaendelea katika mji huo wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kushirikisha wawakilishi kutoka nchi 70.
Habari ID: 3478517 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15
Jinai za Wazayuni
IQNA - Lawama zimeongezeka baada ya utawala ghasibu wa Israel kuweka vizuizi katika milango mitatu ya kuelekea Msikiti wa Al-Aqsa katika eneo la Quds (Jerusalem) Mashariki linalokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478516 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 3 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478515 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/14
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478512 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19