ramadhani - Ukurasa 2

IQNA

IQNA – Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limesambaza kionjo rasmi cha msimu mpya wa kipindi cha televisheni cha “Mahfel”, ambacho hurushwa nchini Iran wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481943    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/16

IQNA – Mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, sauti za kiroho zitakazosikika katika vitongoji vya Dubai nchini UAE zitatoka kwa kizazi kipya chenye matumaini na mwamko wa kidini.
Habari ID: 3481936    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/15

IQNA-Nchi tatu za Uturuki, Singapore na Oman zimetangaza rasmi kuwa siku ya Alhamisi, tarehe 19 Februari, ndiyo siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481931    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/13

IQNA – Wakati mamilioni ya Waislamu duniani kote wakisubiri kwa hamu kuwasili kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani na maandalizi yakiendelea, hesabu za kiastronomia zinaonesha kuwa mwisho wa mwezi wa Shaaban 1447 Hijria kiastronomia utasadifiana na Jumatano, Februari 18.
Habari ID: 3481914    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/10

IQNA — Kwa mujibu wa wataalamu wa elimu ya nyota, mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 2026 kwa hesabu za kiastronomia unatarajiwa kuanza Alhamisi, Februari 19, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya kuthibitika kuwa hilali haitoweza kuonekana mapema kuashiria mwanzo wa mwezi huo.
Habari ID: 3481886    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/03

IQNA – Utawala ghasibu wa Israel umetangaza mipango ya kuweka vizuizi kwa waumini Waislamu wanaotaka kufika Msikiti wa Al-Aqsa katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem0, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481807    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/15

IQNA – Winga chipukizi wa Klabu ya Soka ya Barcelona na Hispania, Lamine Yamal, amesema kutembelea msikiti humpa mtu utulivu wa kipekee bila kujali dini anayofuata.
Habari ID: 3481781    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/08

IQNA – Kampuni ya TK Group, mojawapo ya makampuni makubwa nchini Bangladesh, imetangaza mipango ya kuandaa msimu wa pili wa mashindano ya usomaji wa Qur’ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481662    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/15

IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa wito wa kueneza mafundisho ya Qur'ani Tukufu katika jamii huku akipongeza juhudi za shughuli za Qur'ani zilizofanyika nchini Iran wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. 
Habari ID: 3480598    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/26

IQNA – Katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani wa mwaka 1446 Hijria (2025) , Kuwait imesema imeshuhudia ongezeko la ajabu la watu wanaokumbatia Uislamu.
Habari ID: 3480493    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04

IQNA – Katika Khutbah Sha'baniyah yake, Mtume Muhammad (SAW) alisisitiza kuwa kitendo bora zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kujiepusha na yale ambayo Mwenyezi Mungu ameyakataza. 
Habari ID: 3480487    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02

IQNA – Bi kizee mwenye umri wa miaka 117, anayeaminika kuwa miongoni mwa wazee zaidi nchini Malaysia, ameonyesha shukrani kwa kuwa na uwezo wa kusherehekea Idul Fitr nyingine akiwa na familia yake.
Habari ID: 3480486    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02

IQNA – Ili kukuza tabia njema, mpango wa mwaka mzima ni muhimu, na wakati bora wa kuanza ni mwishoni mwa mwezi mtukufu Ramadhani.
Habari ID: 3480483    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/01

IQNA – Moja ya makosa yetu makubwa ni kushindwa kufahamu manufaa ya kiroho tunayopata wakati wa Ramadhani.
Habari ID: 3480475    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/31

IQNA – Zaidi ya waumini milioni 122 walitembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka ambao unajulkana kama Masjid Al Haram na Msikiti wa Mtume (SAW) mjini Madina amba oni maarufu kama Al Masjid an Nabawi katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3480473    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30

IQNA – Msikiti Mkuu wa Makka,  Masjid al Haram, eneo takatifu zaidi katika Uislamu, uliwapokea waumini, wakiwemo Mahujaji wa Hija ndogo ya Umrah,zaidi ya milioni 4 kwa siku moja katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. 
Habari ID: 3480456    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/28

IQNA – Wapalestina wanaendelea kushiriki katika Swala za jamaa katika Msikiti wa Al-Aqsa katika jiji takatifu la al-Quds kwa wingi wakati wa Ramadhani licha ya vizuizi vinavyowekwa na utawala dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3480443    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/26

IQNA – Waumini wametakiwa kutowaleta watoto wadogo katika Msikiti Mkuu wa Makkah, Masjid al Haram, wakati wa siku za mwisho za mwezi mtukufu  Ramadhani. Hii ni kutokana na eneo hili takatifu kushuhudia ongezeko kubwa la umini
Habari ID: 3480429    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/24

IQNA – Kama miaka iliyopita, tukio la Futari Kubwa litafanyika katika mji wa Bristol, Uingereza, mwaka huu. 
Habari ID: 3480428    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/24

IQNA – Hafla ya kufunga mashindano ya Qur'ani ya Ramadhani nchini Uganda ilifanyika wiki hii katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Habari ID: 3480423    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/23