ramadhani - Ukurasa 9

IQNA

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Daud Kim, mwimbaji maarufu wa pop wa Korea Kusini na YouTuber, amesimulia namna alivyoukubali Uislamu kuwa muongozo katika maisha yake.
Habari ID: 3478522   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16

Mwezi wa Ramadhani
Hili ni mara ya kwanza qiraa hii inasambazwa mitandanoni kwa ajili ya kuinua hali ya kiroho kwa waumini ulimwenguni.
Habari ID: 3478521   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16

Qur'ani Tukufu katika Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Mtaalamu wa Qur’ani na qari wa Syria amesifu “Mahfel”, kipindi cha Televisheni cha Qur’ani kinachorushwa na Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kuhimiza watu kujifunza Qur’ani.
Habari ID: 3478519   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 4 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478518   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya mwisho ya toleo la 27 la Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) inaendelea katika mji huo wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kushirikisha wawakilishi kutoka nchi 70.
Habari ID: 3478517   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15

Jinai za Wazayuni
IQNA - Lawama zimeongezeka baada ya utawala ghasibu wa Israel kuweka vizuizi katika milango mitatu ya kuelekea Msikiti wa Al-Aqsa katika eneo la Quds (Jerusalem) Mashariki linalokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478516   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 3 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478515   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/14

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478512   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478511   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478510   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478509   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478508   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15

Ramadhani 1445 H
Ayatullah Sayyid Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislam mnamo Machi 13, siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1445 H, kama ilivyo ada kila mwaka wakati huu, alishiriki kwenye mahfali ya kushikamana na kuwa karibu na Qur'ani Tukufu iliyofanyika jijini Tehran. Hizi hapa ni picha za tukio hilo lililojaa nuru.
Habari ID: 3478507   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/14

Mwezi wa Ramadhani
IQNA- Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478505   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/14

Ramadhani katika Qur’an/1
IQNA – Qur’ani Tukufu inataja neno Ramadhani mara moja na hilo lipo katika Aya ya 185 ya Surah Al-Baqarah.
Habari ID: 3478504   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/14

Kadhia ya Palestina
IQNA - Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuunga mkono kikamilifu Afrika Kusini katika kesi yake ya kisheria dhidi ya utawala wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)
Habari ID: 3478502   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/13

Umrah
IQNA - Matayarisho yote yamefanywa ili kuhakikisha mchakato mzuri na uliorahisishwa wa taratibu za kuwasili na kuondoka kwa wanaofika Saudia kwa ajili ya Hija ndogo ya Umrah wakati wa Mwezi wa Ramadhani.
Habari ID: 3478501   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/13

Qur'ani katika Mwezi wa Ramadhani
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, usomaji wa Qur'ani ni sanaa takatifu na inabidi lengo lake kuu liwe ni kuwafundisha watu na jamii maana na ujumbe uliomo kwenye Qur'ani na kuandaa mazingira ya kuzingatiwa aya za Kitabu hicho Kitakatifu kama ambavyo pia kilele cha istiqama ya wananchi wa Gaza kinatokana na kuielewa na kuifanyia kazi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478499   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/13

Mwezi wa Ramadhani na Diplomasia
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza viongozi na wananchi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani na kusema kuwa, ni wajibu wa viongozi wa nchi za Kiislamu kuhimiza na kudumisha amani na undugu baina ya Waislamu.
Habari ID: 3478497   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/12

Mwezi wa Ramadhani na utamaduni
IQNA - 'Hal Hilalik Ya Ramadan', ni tukio la jadi ambalo limezoeleka katika nchi nyingi za Kiarabu kwa ajili ya kukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Tukio hilo la kiutamaduni limeandaliwa katika haram ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran Jumatatu usiku.
Habari ID: 3478496   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/12