iqna

IQNA

mashahidi
Mashahidi wa Muqawama
TEHRAN (IQNA) - Makamanda wa muqawama Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis walizuia njama za nchi za Magharibi dhidi ya Umma wa Kiislamu, kiongozi mkuu wa Kisunni wa Iraq alisema.
Habari ID: 3476342    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

Mashahidi wa Muqawama
TEHRAN (IQNA) – Hauli imefanyika mjini Tiro nchini Lebanon kwa ajili ya makamanda wa muqawama mashahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis.
Habari ID: 3476341    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitiza kuwa, shahidi na kufa shahidi kunaunda jumla ya thamani za kitaifa, kidini, kiutu na kimaadili na kuongeza kuwa: Shahidi ni kielelezo cha "imani ya kweli," "amali njema," na "Jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu."
Habari ID: 3476103    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/17

Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapunduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mapema leo asubuhi amefanya ziara katika Haram toharifu ya Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu na maziara ya Mashahidi katika Makaburi ya Behesht Zahra SA kusini mwa Tehran.
Habari ID: 3474873    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/31

TEHRAN (IQNA)- Taifa la Iran limejitokeza kwa wingi katika maziko ya mashahidi wao 250 waliouawa wakati wa vita vya miaka minane vya kujihami kutakatifu vilivyoanzishwa na utawala wa kidikteta wa Saddam wa Iraq, kwa himaya ya Marekani, dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3474773    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/06

Baada ya kumalizika muhula wa usitishwaji vita wa muda katika Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha tena hujuma zake za kinyama dhidi ya eneo hilo la Wapalestina.
Habari ID: 1433806    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/27