iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Nchi za mashariki mwa Afrika zimepongeza makubaliano ya amani baina ya Serikali ya Mpito ya Sudan na Muungano wa Harakati ya Kimapinduzi kutoka jimbo la Darfur na katika majimbo ya kaskazini ili kuhitimisha mgogoro wa miaka 17 nchini humo.
Habari ID: 3473134    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/03

TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok amemfahamisa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo kwamba Khartoum haiwezi kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473103    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/26

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Ulinzi wa Sudan, Luteni Jenerali Jamaleldin Omar, amefariki baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa Sudan Kusini katika mazungumzo ya amani baina ya serikali na waasi mjini Juba.
Habari ID: 3472599    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/25

TEHRAN (IQNA) - Ikiwa ni katika kuendeleza juhudi zake kueneza satwa ya kibeberu na kutafuta washirika kwa minajili ya kutekeleza siasa zake za kivamizi, Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu amekutana na kufanya mazungumzo mjini Entebbe Uganda na Luteni Jenerali Abdul-Fattah al-Burhan, Kiongozi wa Baraza la Utawala la Sudan.
Habari ID: 3472445    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/06

TEHRAN (IQNA) –Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Sudan amelaani vikali mkutano wa hivi karibuni wa wa Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3472441    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/05

TEHRAN (IQNA) - Vyama vya Kiislamu nchini Sudan vimelaani mpango wa serikali ya mpito ya nchi hiyo wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3472149    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/27

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Sudan limetaka wahusika wachukuliwe hatua baada ya waandamanaji watano wakiwemo wanafunzi wanne kuuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya jana nchini Sudan.
Habari ID: 3472066    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/01

TEHRAN – (IQNA)- Muungano wa makundi ya upinzani yanayoongoza vugu vugu dhidi ya utawala wa kijeshi Sudan umetangaza mpango wa kuteua watu wanane katika baraza la mpito katika nchi hiyo ambayo inakumbwa na msukusuko mkubwa wa kisiasa.
Habari ID: 3471995    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/11

TEHRAN (IQNA)- Hali si shwari nchini Sudan. Taarifa kutoka Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo zinaarifu kuwa, kwa akali watu watano wameuawa baada ya maafisa usalama nchini humo kushambulia kwa risasi hai maandamano ya wananchi wanaolalamikia hatua ya jeshi la nchi hiyo kung'ang'ania madaraka.
Habari ID: 3471983    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/03

TEHRAN (IQNA)- Rais Omar el Bashir wa Sudan amelazimishwa na jeshi la nchi hiyo kujiuzulu kufuatia maandamano ya miezi kadhaa ya wananchi ambao wamemtaka aachie ngazi baada ya kutawala kwa muda wa miaka 30.
Habari ID: 3471911    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/11

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Sudan imeanza mradi wa kitaifa wa kukarabati nakala za kale za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471844    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/17

Rais Al Bashir
TEHRAN (IQNA)- Rais Omar al Bashir wa Sudan amefichua kuwa: "Tulishauriwa tuwe na uhusiano wa kawaida na Israel ili hali ya nchi yetu iboreke."
Habari ID: 3471797    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/05

TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Morocco ametangazwa mshindi katika Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Sudan na kutunukiwa zawadi yake Jumamosi usiku.
Habari ID: 3471355    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/15

TEHRAN (IQNA)-Fainali ya Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Sudan imeanza Jumanne hii katika mji mkuu, Khartoum.
Habari ID: 3471348    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/09

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Sudan yanatazamiwa kufanyika wiki ijayo na yatakuwa na washiriki 70.
Habari ID: 3471330    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Sudan imesema inaunga mkono Madrassah za jadi za nchi hiyo zinazofunza Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470968    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/05

IQNA: Msomi kutoka Sudan amebainisha masikitiko yake kuwa Waislamu wamepuuza maudhui za kitiba katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470884    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/07

IQNA-Rais Omar al Bashir w Sudan ametoa madai yasiyo na msingi wowote kuwa eti Iran inaeneza madhehebu ya Shia barani Afrika.
Habari ID: 3470816    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/27

Sheikh Mohammad Hashim Al Hakim, mwanachama wa Jumuiya ya Maulamaa wa Sudan ametahadharisha kuhusu kusambazwa nakala za Qur'ani nchini humo ambazo zina makosa ya chapa.
Habari ID: 3470450    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/12

Watu 8 waliokuwa wamingia msikitini kupata hifadhi wameuawa katika hujuma ya watu waliokuwa na silaha katika eneo la El Geneina katika eneo la Darfur Magharibi mwa Sudan.
Habari ID: 3470336    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/25