iqna

IQNA

BAHARI
Al Houthi
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen Abdul-Malik al-Houthi anasema kulengwa kwa meli zinazohusishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kutaendelea katika Bahari ya Sham hadi Wapalestina walioko Gaza watakapoweza kupokea misaada.
Habari ID: 3478254    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26

Ukweli katika Qur'ani Tukufu /12
TEHRAN (IQNA) – Watafiti wa Australia wamethibitisha kwamba maji matamu yanaweza kupenya matabaka yaliyo katika kina cha na kubaki humo kwa zaidi ya miaka 20,000. Qur’ani Tukufu katika mojawapo ya aya zake imetaja jambo hili la kustaajabisha.
Habari ID: 3476664    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/06

Sura za Qur'ani Tukufu / 55
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu amewapa wanadamu neema nyingi lakini watu hawamthamini Muumba kiukweli au wanafikiria kimakosa kwamba Mwenyezi Mungu hawazingatii vya kutosha.
Habari ID: 3476385    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/11

Sura za Qur'ani Tukufu /25
TEHRAN (IQNA) – Kuna mahali karibu na Denmark ambapo bahari mbili huunda mandhari ya kuvutia. Eneo moja kuna maji ya chumvi na nyingine maji matamu. Kwa sifa zao tofauti, bahari mbili hazichanganyiki kana kwamba kuna kizuizi kati yao.
Habari ID: 3475622    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/14