iqna

IQNA

Sura za Qur'ani Tukufu / 41
TEHRAN (IQNA) – Moja ya imani ambayo Waislamu wanashikilia ni kutoweza kupotoshwa kwa Qur'ani Tukufu. Kwa mujibu wa imani hii, Qur'ani Tukufu sasa ni sawa na ilivyokuwa wakati ilipoteremshwa kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) na hakuna neno lililoongezwa au kutolewa ndani yake
Habari ID: 3476113    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/19

Sura za Qur'ani Tukufu /40
TEHRAN (IQNA) - Mwenyezi Mungu anasema katika Aya ya 60 ya Sura Ghafir ya Qur'ani Tukufu kwamba, "Niombeni nami nitakuitikieni." Kwa hiyo sharti la maombi kujibiwa ni kwamba tumwite Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476077    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/12

Sura za Qur'ani Tukufu / 39
TEHRAN (IQNA) – Kuna mifano mingi ya miujiza ya kisayansi katika Qur'ani, ukiwemo mmoja katika Surah Az-Zumar. Hii ni miujiza kwa sababu ilitajwa katika Kitabu ambacho ni Kitakatifu karne nyingi zilizopita wakati wanadamu hawakuwa na habari nayo.
Habari ID: 3476054    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/08

Sura za Qur’ani Tukufu/ 38
TEHRAN (IQNA) – Imesemwa katika vyanzo vya kihistoria na kidini kwamba Shetani alikuwa mmoja wa watumishi maalum wa Mwenyezi Mungu waliokuwa wakimuabudu kwa muda mrefu.
Habari ID: 3476014    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/31

Sura za Qur'ani Tukufu / 37
TEHRAN (IQNA) – Kuna makundi mbalimbali ya watu wanaokataa au wanaokana kuwepo kwa Mwenyezi Mungu au upweke wake. Mungu ametuma adhabu kwa baadhi yao na kuwapa baadhi ya wengine fursa ya kutubu huku akieleza ni hatima gani inayowangoja ikiwa hawatafanya hivyo.
Habari ID: 3476001    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/28

Sura za Qur’ani Tukufu / 36
TEHRAN (IQNA) – Kuna masuala na mada tofauti tofauti zilizotajwa ndani ya Qur’ani Tukufu, huku zile kuu na muhimu zikihusiana na kanuni tatu za dini, yaani Tauhidi, Utume na Ufufuo.
Habari ID: 3475996    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/27

Sura za Qur’ani Tukufu / 35
TEHRAN (IQNA) - Mwanadamu anahitaji shughuli na kazi ili kupata pesa kwa ajili ya kuwa na maisha yaliyojaa amani na faraja. Qur'ani Tukufu imewaalika wanadamu kufanya biashara ambayo ndani yake hakuna hasara na ambayo inawapeleka kwenye amani ya milele.
Habari ID: 3475994    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/27

Sura za Qur'ani Tukufu /34
TEHRAN (IQNA) – Miongoni mwa Mitume waliotumwa na Mwenyezi Mungu kuwaongoza watu wengine walikuwa ni baba na mwana. Miongoni mwao ni Zakariya (Amani ya Mwenyezi Mungu-AS-) na Yahya (AS), Ibrahim (AS) na Ishaq (AS), Ibrahim (AS) na Ismail (AS), na Yaqub (AS) na Yusuf (AS).
Habari ID: 3475968    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21

Sura za Qur'ani Tukufu / 21
TEHRAN (IQNA) – Hadithi za Mitume 16 wa Mwenyezi Mungu zimetajwa katika Sura Al-Anbiya ya Qur’ani Tukufu ili kudhihirisha ukweli kwamba Mitume wote walifuata njia moja na walifuata lengo moja na kwamba wafuasi wao wote ni Ummah mmoja.
Habari ID: 3475955    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/19

Sura za Qur’ani Tukufu/ 15
TEHRAN (IQNA) - Kumekuwa na nadharia na mitazamo tofauti juu ya kuumbwa kwa mwanadamu, na mtazamo wa Uislamu juu ya hili umetajwa ndani ya Qur’ani ikiwemo katika Sura al Hijr.
Habari ID: 3475945    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17

Sura za Qur'ani Tukufu /14
TEHRAN (IQNA) – Aya za Sura Ibrahim zinataja utume wa Mitume wa Mwenyezi Mungu bila ya kutaja mahususi kwa mtume au watu fulani.
Habari ID: 3475939    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/16

Sura za Qur'ani Tukufu /33
TEHRAN (IQNA) – Tofauti kati ya wanaume na wanawake ipo tu kwenye miili yao kwani wote wawili kwa mtazamo wa kiroho wako sawa na wanaweza kufikia ukamilifu. Uislamu hauoni tofauti kati ya wanaume na wanawake kwa mtazamo huu.
Habari ID: 3475870    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/02

Sura za Qur'ani Tukufu/29
TEHRAN (IQNA) – Mitume wa Mwenyezi Mungu walijaribu kuonyesha jinsi miungu ya uongo isiyo na thamani lakini walikabili ukaidi wa wafuasi wao wengi. Surah Al-Ankabut katika Qur'ani Tukufu inalinganisha imani za watu hao waliopotoka na utando wa buibui.
Habari ID: 3475740    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06

Sura za Qur’ani Tukufu /28
TEHRAN (IQNA) – Kumekuwa na makundi mbalimbali ya watu katika historia yote ambayo yameegemea juu ya uwezo na mali zao kusimama dhidi ya utawala wa Mwenyezi Mungu lakini wote wameshindwa kwani si wingi wa mali wala uwezo wa watu wenye nguvu unaoweza kukabiliana na nguvu za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475701    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29

Sura za Qur’ani Tukufu /27
TEHRAN (IQNA) – Nabii Sulaiman (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) alikuwa Mtume pekee wa Mwenyezi Mungu ambaye pia alikuwa mfalme na alikuwa na elimu na mali nyingi. Pia alikuwa na uwezo wa kuzungumza na wanyama na alikuwa na jeshi kubwa la watu na majini ambalo lilimpa nguvu zisizo za kawaida.
Habari ID: 3475684    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26

Sura za Qur'ani Tukufu/ 24
TEHRAN (IQNA)- Moja kati ya sifa bora na zenye mvuto za Mwenyezi Mungu SWT zinapatikana katika Sura An-Nur ya Qur'ani Tukufu, na kuna tafsiri kadha wakadha kuhusu aya hizo.
Habari ID: 3475662    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22

Sura za Qur'ani Tukufu /26
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu ametuma Mitume wengi kuwaongoza wanadamu na walikumbana na matatizo na masaibu mengi katika njia hii.
Habari ID: 3475649    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19