Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Hafla imefanyika Silopi, mkoa wa Sirnak, kusini mashariki mwa Uturuki, kuzindua shule ya kufundisha vijana kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3475564 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/31
TEHRAN (IQNA) - Duru ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya wawakilishi wa Haram Takatifu zilizo katika maeneo mbali mbali imekamikila Jumanne, huko Karbala nchini Iraq.
Habari ID: 3475549 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27
Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi wa shule katika nchi 52 hadi sasa wamenufaika kutokana na shughuli za jumuiya ya Qur’ani ya Kuwait ambayo inatoa misaada ya kimaisha na huduma za Qur’ani katika sehemu mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475546 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27
Shakhsia katika Qur'ani/2
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu, Hawa ni Mama wa ubinadamu ambaye asili ya kuwepo kwake ni sawa na ile ya Nabii Adam (AS).
Habari ID: 3475544 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/26
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu katika Ukanda wa Gaza imeandaa vikao katika misikiti miwili katika eneo hilo lililozingirwa la Palestina ili kutathmini ujuzi wa Qur’ani Tukufu wa wavulana na wasichana waliohifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475543 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/26
Qur'ani Tukufu Inasemaje /22
TEHRAN (IQNA) – Baada ya tukio la Mubahala lililotokea kufuatia msisitizo wa Wakristo wa Najran juu ya wao kuwa kwenye haki, aya za Qur’an ziliteremshwa zinazotaka mazungumzo na kuzingatia mambo nukta za pamoja. Hii inaonyesha kwamba mtazamo wa Qur'an ambao unatilia mkazo mwingiliano na mazungumzo.
Habari ID: 3475540 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/25
Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA) - Kozi za Qur'ani Tukufu za Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (AS) huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, zimehitimishwa kwa sherehe Jumapili jioni.
Habari ID: 3475514 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Ofisi ya Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Hija imeandaa mahafali za qiraa ya Qur’ani Tukufu katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3475513 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17
TEHRAN (IQNA) – Lee Myung Won ni Muislamu kutoka Korea Kusini ambaye hivi sasa anafanya kazi ya kutafsiri Qur'ani Tukufu katika lugha ya Kikorea.
Habari ID: 3475505 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/15
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Wito unaendelea kutolea nchini Jordan wa kubatilisha hatua ya serikali ya kufunga vituo 68 vya Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3475497 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/13
Qur'ani Tukufu Inasemaje/17
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inadhihirisha kwamba matendo ya watu binafsi yana athari kubwa na ya moja kwa moja kwa jamii kwani haitoshi kutegemea sheria kali za kijamii kwa ajili ya kurekebisha jamii; badala yake, kuwe na juhudi za kukuza uelewa miongoni mwa wanajamii.
Habari ID: 3475495 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/12
Teknolojia
TEHRAN (IQNA) – Huduma mpya ya kisasa imezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al-Haram, mwaka huu ili kusambaza Misahafu kwa waumini na Mahujaji.
Habari ID: 3475493 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/12
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Qarii wa Kimataifa wa Qur'ani Tukufu Ustadh Yousef Jafarzadeh hivi karibuni alisoma aya ya 125 ya Surah Baqarah katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjidul Haram.
Habari ID: 3475467 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/05
Sura za Qur'ani Tukufu /16
TEHRAN (IQNA) – Baraka za Mwenyezi Mungu hazina idadi. Wengine hutafakari juu ya neema au baraka hizo na wengine hawajali au wanapuuza.
Habari ID: 3475462 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/04
Mafunzo ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)-Baadhi ya madhambi yana athari kubwa sana katika maisha ya kijamii na ya mtu binafsi na katika kumporomosha mtu kiroho na katika kufikia ukamilifu wa kiutu, kama ambavyo baadhi ya amali njema zina taathira kubwa mno pia katika kumjenga na kumuinua mtu kiroho na kimaanawi.
Habari ID: 3475449 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/01
Waziri Mkuu wa Malaysia
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Malaysia Ismail Sabri Yaakob amewasihi Waislamu kurejelea Qur’ani Tukufu na Sunnah ya Mtume Muhammad SAW kama miongozo wakati wa kushughulika na kutokuelewana.
Habari ID: 3475445 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/01
Qur'ani Tukufu Inasemaje / 13
TEHRAN (IQNA) – Aya ya Qur’ani Tukufu inayojulikana kwa jina la Ayatul Kursi ina umuhimu na fadhila maalum kutokana na mafundisho yake muhimu.
Habari ID: 3475444 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/30
Sura za Qur'an/13
TEHRAN (IQNA) – Mungurumo wa radi angani ni miongoni mwa alama za ukuu wa Mwenyezi Mungu na, kwa mujibu wa aya ya 13 ya Sura Ar-Ra’ad, inamtakasa na kumhimidi Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475432 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/27
Sura za Qur'ani / 10
TEHRAN (IQNA) – Sehemu za aya za Qur’ani zina visa vya Mitume wa Mwenyezi Mungu na makabiliano yao na wale wanaoikadhibisha dini na maamrisho ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475431 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/27
Sura za Qur'ani Tukufu /12
TEHRAN (IQNA) – Kisa cha Nabii Yusuf (AS) katika Qur’ani Tukufu kimejaa mengi kuhusu magumu ambayo aliyapitia kwa subira na imani na kufanikiwa kupata hadhi ya juu.
Habari ID: 3475421 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/24