Sura za Qur'ani /9
TEHRAN (IQNA) – Sura zote ndani ya Qur’ani Tukufu zinaanza na sentensi “Kwa Jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu” (Bismillah Ar-Rahman Ar-Raheem) isipokuwa Sura At-Tawbah.
Habari ID: 3475414 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23
Sura za Qur'ani/ 8
TEHRAN (IQNA)- Kuongezeka kwa makundi ya kigaidi duniani na matumizi mabaya ya Uislamu kumepelekea istilahi Jihadi (vita vitakatifu) kupachikwa maana isiyo sahihi na hivyo kunasibishwa na maneno kama vile kuchochea vita, ghasia na mauaji.
Habari ID: 3475385 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/16
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yanayoaminika na yenye itibari zaidi duniani, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3475380 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/15
TEHRAN (IQNA) - Mshiriki kutoka Morocco ametwaa tuzo ya juu katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Ethiopia.
Habari ID: 3475375 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14
Tarjuma ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Tarjuma mpya ya Qur’ani Tukufu kwa lugya ya Kifaransa imechapishwa nchini Algeria.
Habari ID: 3475370 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13
Sura za Qur'ani Tukufu / 4
TEHRAN (IQNA) – Nafasi ambayo mwanamke anayo katika jamii na familia ni miongoni mwa masuala muhimu katika Uislamu. Dalili ya umuhimu huu inaweza kuonekana katika Sura ya nne ya Qur'ani Tukufu kama ilivyowekwa wakfu kwa wanawake.
Habari ID: 3475355 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09
Sura za Qur’ani Tukufu /5
TEHRAN (IQNA) – Sura tofauti za Qur’an zinarejelea kuzaliwa, maisha, miujiza, na maadui wa Nabii Isa (Yesu)-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake Sura ya tano ya Qur’ani inaashiria miujiza ya nabii huyu wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475328 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/02
Fikra za Imam Khomeini
TEHRAN (IQNA)- Ijapokuwa Imam Khomeini anajulikana kuwa kiongozi wa kimapinduzi na shakhsia wa kisiasa, alikuwa na shughuli na nadharia muhimu katika uga wa irfani (mysticism) na sayansi ya kidini. Aliarifisha irfani kama kama njia inayotokana na Qur'ani na Sunnah.
Habari ID: 3475323 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/01
Qur'ani inasema Nini / 4
TEHRAN (IQNA) - Vitabu vitakatifu katika dini mbali mbali mara nyingi huzingatiwa kama chanzo cha kuimarisha hali ya kiroho ya mtu na hii inaeleweka kama fikra ya mwongozo lakini Quran Tukufu ina misingi ya kipekee kuhusiana na nukta hii.
Habari ID: 3475320 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31
Watoto na Qur'ani
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimejibu ukosoaji kuhusu darsa zake za kuhifadhi Qur'ani kwa watoto.
Katika taarifa yake Jumapili, Kituo cha Al-Azhar cha Fatwa za Kielektroniki kilisema kuwa kulea watoto na kuwalea kwa ufahamu sahihi wa Quran ni nguzo ya utulivu wa jamii.
Habari ID: 3475316 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30
TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Khaled Suwaid, mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Misri cha Al-Manofiyeh nchini, alishinda nafasi ya pili katika Mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika mjini Kazan, nchini Russia.
Habari ID: 3475311 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Rasmus Paludan, mwanasiasa mwenye msimamo mkali mwenye uraia wa Sweden na Denmark ambaye alizindua msafara wa kuteketeza moto Qur’ani Tukufu nchini Sweden hivi karibuni amekariri jinai yake hiyo yenye chuki dhidi ya Uislamu katika bustani ya jiji la Landskrona kusini mwa Sweden.
Habari ID: 3475310 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29
Qur'ani na kutafakari
TEHRAN (IQNA)- Wito wa kutafakri ni miongoni mwa mawaidha mazito katika dini ya Kiislamu na ni ya thamani na muhimu sana kiasi kwamba Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) amesema: “Saa ya kufikiri ina thamani zaidi kuliko miaka 60 ya ibada bila kufikiri”.
Habari ID: 3475309 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30
Watoto na Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Usajili wa masomo ya Qur'ani Tukufu katika majira ya joto katika misikiti ya Misri umepokelewa vyema na watoto wa shule.
Habari ID: 3475292 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25
Kuhifadhi Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Rashad Nimr Abu Ras, mvulana Mpalestina mwenye umri wa miaka saba amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3475288 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/24
Qur'ani inasema nini / 2
TEHRAN (IQNA)- Wakati Mwenyezi Mungu SWT alipomuumba mwanadamu, alimfanya kuwa Khalifa au msaidizi wake katika ardhi.
Habari ID: 3475280 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22
TEHRAN (IQNA)-Mvulana Mmisri mwenye umri wa miaka 9 ana kipaji cha kipekee cha kusoma Qur'ani Tukufu kiasi kwamba sasa amepewa lakabu ya 'Abdul Basit Mdogo".
Habari ID: 3475279 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22
TEHRAN (IQNA) – Wakati fulani mwanadamu hukumbana na hali ngumu ambazo hakuna mtu anayeweza kumuelewa wala kumsaidia na hivyo huelekea kuomba msaada kwa yule mwenye nguvu ambaye anajua yuko karibu.
Habari ID: 3475264 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Msomo wa Kijerumani anaamini kwamba Qur'ani Tukufu imesaidia kuimarisha utambulisho wa Kikristo.
Habari ID: 3475262 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/17
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Imam Ali AS cha Vienna, Austria kimeanzisha mpango wa kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3475253 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15