iqna

IQNA

Umrah
IQNA – Al Rawda Al Sharifa katika Al Masjid An Nabawi yaani Msikiti wa Mtume  mjini Medina ilitembelewa na zaidi ya waumini 367,000 wiki iliyopita.
Habari ID: 3480003    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/04

Umrah
IQNA - Zaidi ya waumini milioni 10 wameswali katika Al- Rawdah Al-Sharif kwenye Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) kuanzia mwanzoni mwa 2024.
Habari ID: 3479591    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14

IQNA - Al-Rawda al-Sharifa ndani ya Al Masjid an Nabawi (Msikiti wa Mtume) huko Madina ndipo alipozikwa Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad Al Mustafa (SAW) Imepokewa kuwa Mtume Muhammad (SAW) amesema kila mjumbe wa Mwenyezi Mungu anayeaga dunia huzikwa mahali pale alipofia. Kwa hiyo, Mtume Muhammad (SAW) alizikwa katika moja ya vyumba vya nyumbani kwake Madina ambako alifariki dunia.
Habari ID: 3479379    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/03

Umrah
IQNA - Wizara ya Hija na Umrah ya Saudi Arabia imetangaza kuwa kila mwenye kushiriki katika ibada ya Hija ndogo ya Umra anaruhusiwa kutembelea Al- Rawdah Al-Sharifa katika mji mtakatifu wa Madina mara moja tu kwa mwaka.
Habari ID: 3478085    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/24

Ibadah ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa takwimu, zaidi ya Waislamu milioni tatu wameswali katika Rawdah Tukufu kwenye Msikiti wa Mtume (SAW), Al-Masjid an-Nabawi , mjini Madina katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3476067    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10