Watu 10 wameuawa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) baada ya wanamgambo wa Kikristo kuwashambulia Waislamu. Imearifiwa kuwa mapigano hayo yamejiri katika eneo la Bambari, lenye Waislamu wengi, katikati mwa nchi hiyo lililo karibu na Mto Ouaka.
Habari ID: 3351057 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/24
Waislamu wasiopungua 108,000 walipoteza maisha kutokana na maafa na vita katika nchi za Kiislamu na nchi ambazo Waislamu ni wachache kote duniani mwaka 2014.
Habari ID: 3345845 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18
Amnesty International
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limesema kuwa Waislamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) wamelazimika kuritadi na kuacha dini yao kutokana na kutishiwa maisha.
Habari ID: 3337640 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/01
Ripoti zinasema kuwa karibu miskiti yote 436 katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imebomolewa kutokana na machafuko ya kidini.
Habari ID: 3008622 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/18
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema, migogoro inayoendelea hivi sasa Mashariki ya Kati ina lengo la kuchora upya ramani ya eneo hili.
Habari ID: 1462702 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/21
Rais wa mpito wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bi. Catherine Samba Panza, amemteua Mohammad Kamoun kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo.
Habari ID: 1438785 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/12
Msemaji wa Jumuiya ya Waislamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati amesema, wanamgambo wa Kikristo nchini humo wamewaua vijana watatu Waislamu na kukatakata viungo vyao vya mwili.
Habari ID: 1412082 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/29
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya mauaji ya umati yanayofanyika katika Jamhuri ya Afrika ya Kati dhidi ya Waislamu. Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amebainisha masikitiko yake kuwa makundi ya Wakristo wenye misimamo mikali wameachwa kuendelea na mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu katika nchi hiyo ya Kiafrika.
Habari ID: 1380936 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/28
Magaidi wa Kikristo huko Jamhuri ya Afrika ya Kati wamewapa Waislamu waliookwenda kujisitiri katika kanisa moja nchini humo kuondoka nchini humo au wauawe.
Habari ID: 1380049 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/25
Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeonya kuwa kuna operesheni za kufukuza jamii ya Waislamu kwa kuwaua kwa umati katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, suala ambalo askari wa kulinda amani wa kimataifa wameshindwa kulizuia.
Habari ID: 1374699 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/13