iqna

IQNA

IQNA – Msanii mmoja kutoka Iran ameielezea namna uzuri wa kiroho wa Qur’an Tukufu unavyoendelea kumvutia na kumtia hamasa katika kazi yake ya sanaa ya kitamaduni ya tadhib au tazhib (mapambo ya Qur’an kwa dhahabu), ambayo ni miongoni mwa sanaa za Kiislamu za kale zinazotumika kupamba kurasa za Qur’an Tukufu.
Habari ID: 3480736    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/25

IQNA – Jumba la Kitaifa la Makumbusho la Sanaa la Isfahan, lililozinduliwa mnamo Februari 2022, liko ndani ya jengo la kihistoria kutoka enzi ya mwisho ya utawala wa Qajar.
Habari ID: 3480720    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21

IQNA – Utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unakalia ardhi za Palestina kwa mabavu umejaribu mbinu mbalimbali kuiba hati za kale za Kiislamu.
Habari ID: 3480640    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/05

Turathi
IQNA-Miswada au maandiko ya kale ni hazina muhimu ya urithi wa binadamu. Majumba ya makumbusho, vyuo vikuu na vituo vya utafiti ni sehemu ambazo zimejaa maelfu ya maandiko ambayo yanasaidia kuelewa historia, sayansi, lugha, na sanaa mbalimbali hasa katika ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3480523    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11

Utamaduni
IQNA - Siku ya Kimataifa ya Sanaa ya Kiislamu ni maadhimisho ya juhudi zinazofanywa na wasanii wa Kiislamu kukuza mafundisho ya Kiislamu, Mwambata wa Utamaduni wa Iran huko Bosnia na Herzegovina amesema.
Habari ID: 3479794    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/23

Turahti
TEHRAN (IQNA) – Muislamu mmoja wa Kanada, Khalil Jafar, ametoa mkusanyo wa thamani na wa kale wa bahasha na stempu 100, pamoja na orodha ya stempu za Kanada, kwenye hazina ya stempu na sarafu za Jumba la Makumbusho la Haram ya Imam Ridha (AS). Mkusanyiko huu una stempu za za kuanzia 1815 na 2023.
Habari ID: 3477820    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/31

Kwa mujibu wa Iqna, likinukuu gazeti la US Today, Waislamu wana historia ndefu nchini Marekani, wakianzia utumwani, inaonekana kuwa dini hii ya waislamu mara nyingi inatambulishwa na Waamerika Waarabu katika nchi hii, ukweli ni kwamba Weusi na Waasia ni sehemu kubwa ya jamii hii.
Habari ID: 3477158    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/18

Sheikh Ahmad Khatib, Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri ametoa taarifa na kusema kwa mujibu wa sheria za Kiislamu, ni haramu kubomoa athari na turathi za kihistoria.
Habari ID: 3308489    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/27