sweden - Ukurasa 2

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Waislamu na wapenda haki nchini Sweden wameendeleza maandamano kwa siku ya nne mfululizo kulalamikia mpango wa kuchoma moto nakala za Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3475138   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi mdogo wa Sweden mjini Tehran na kumfahamisha kuhusu malalamiko makali ya Iran kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kundi moja lenye misimamo mikali nchini Sweden katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475136   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema serikali ya Sweden inapaswa kuwajibika kuhusu kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3475132   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/17

TEHRAN (IQNA)- Shule moja ya Waislamu kati mwa Sweden imeshambuliwa na watu wasiojulikana.
Habari ID: 3473737   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/15

TEHRAN (IQNA) – Mahakama nchini Sweden imeondoa marufuku ya vazi la Kiislamu la Hijabu katika shule za mji mmoja wa kaskazini mwa nchi hiyo ya bara Ulaya.
Habari ID: 3473371   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/18

TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm wameshiriki katika maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuzaliwa (Maulid) Mtume Muhammad SAW na pia uzawa wa mjukuu wake, Imam Jaafar Swadiq AS.
Habari ID: 3473322   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02

TEHRAN (IQNA)- Vijana kadhaa wa Sweden wenye misimamo ya kufurutu mpaka wamefanya kitendo cha kishenzi cha kuivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuchukua msahafu na kuuchoma moto mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo.
Habari ID: 3473293   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/25

TEHRAN (IQNA) –Waislamu nchini Sweden wametaka katiba ya nchi hiyo ifanyiwe marekenisho iliiwe na kipengee cha kupiga marufuku kuvunjiwa heshima matukufu ya kidini.
Habari ID: 3473168   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/14

TEHRAN (IQNA) –Wajumbe wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) leo wametoa taarifa ya pamoja na kulaani vikali kujunija heshima Mtume Muhammad SAW pamoja na Qur’ani Tukufu barani Ulaya.
Habari ID: 3473161   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/12

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu limelaani kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima tena Bwana Mtume Muhammad SAW na vile vile kitendo kichafu kilichofanywa nchini Sweden cha kuuchoma moto nakala ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473145   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/07

Sheikh Mkuu wa Al Azhar
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mkuu wa Al Qur’ani amelaani vikali vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu na kutaja vitendo hivyo vilivyo dhidi ya dini kuwa ni jinai ya kigaidi.
Habari ID: 3473143   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/06

Ayatullah Nouri Hamedani
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni njama za vituo vya kifikra vya Utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika fremu ya kueneza chuki na hofu dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473142   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/06

TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri kimeanzisha kampeni maalumu ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3473126   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/01

THERAN (IQNA) msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan ameashiria kuhusu vitendo hivyo vya kuchomwa moto nakala za Qurani Tukufu katika nchi za Sweden na Norway, huku akitoa indhari kuhusu wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
Habari ID: 3473124   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) sambamba na kulaani hatua ya kuvunjiwa heshima na kuchomwa moto nakala ya Qurani Tukufu nchini Sweden na kusema kitendo hicho kilichofanywa na wafuasi wenye misimamo iliyochupa mipaka wa mirengo ya kulia katika nchi hizo za Ulaya ni cha kichokozi na kichochezi.
Habari ID: 3473123   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31

TEHRAN (IQNA) – Maandamano makubwa yameibuka kusini mwa Sweden Ijumaa usiku baada ya mwanasiasa wa Denmark anayepinga Uislamu kuzuiwa kuhudhuria hafla ya kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473115   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/29

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali AS mjini Stockholm, Sweden kimeandaa mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa njia ya intaneti .
Habari ID: 3472763   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/13

TEHRAN (IQNA) -Misikiti nchini Sweden ilishambuliwa mara 38 mwaka 2017, ikiwa ni ongezeko la mara 10 ya vitendo hivyo vya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471557   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/14

TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm, umehujumiwa na kuandikwa maandishi na nembo za kibaguzi siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3471441   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/23

TEHRAN (IQNA)-Msikiti umeteketezwa moto katika mji wa Orebro kusini mwa Sweden katika tukio ambalo linaaminika kutekelezwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471194   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/26