iqna

IQNA

olimpiki
Chuki dhidi ya Uislamu
PARIS (IQNA) - Mwanafikra wa Morocco amekosoa uamuzi wa Ufaransa wa kuwakataza wanariadha wake kuvaa hijabu ambayo huvaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu, wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024, akisema inafichua upofu na msimamo mkali wa mawazo ya kisiasa ya Ufaransa.
Habari ID: 3477696    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/07

Kiongozi Muadhamu katika mkutano na wanamichezo wa Olimpiki na Paralimpiki
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, kutotambuliwa na kususiwa utawala ghasibu wa Israel katika michezo ni jambo muhimu sana.
Habari ID: 3474308    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18

TEHRAN (IQNA)- Javad Foroughi, 41, muuguzi katika Hospitali ya Baqiyatullah mjini Tehran amekuwa Muirani wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
Habari ID: 3474125    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25

TEHRAN (IQNA)- Mwanamichezo wa mchezo wa Judo wa Algeria ameamua kujitoa kwenye michezo ya Olimpiki ya 2020 Tokyo inayofunguliwa rasmi leo katika mji mkuu huo wa Japan, ikiwa ni harakati ya kutangaza mshikamano na Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474120    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/23

TEHRAN (IQNA) –Malaysia imepewa jukumu la kutayarisha chakula halali, ambacho kimetayarishwa kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, kwa ajili ya michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
Habari ID: 3472477    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/16

TEHRAN (IQNA)-Mwanariadha Mwanamke Mwislamu Mmarekani aliyeiwakilisha nchi yake katika Olimpiki amemuandikia barua ya malalamiko Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Habari ID: 3470905    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/23

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri zimepata medali zao za kwanza za mashindano ya taekwondo ya wanawake katika michezo ya Olimpiki ya Rio, 2016.
Habari ID: 3470534    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/20

Wanariadha watatu Waislamu wameonyesha nguvu na taswira nzuri ya Uislamu katika michezo ya Olimpiki ya Rio, 2016.
Habari ID: 3470529    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/18

Mgahawa Halali ulio katika makao ya wanariadha katika michezo ya Olimpiki huko Rio de Janeiro nchini Brazil mbali na kuwavutia wanariadha Waislamu pia unawavutia wasiokuwa Waislamu.
Habari ID: 3470524    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/15