televisheni - Ukurasa 2

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 12 ya mashindano ya kimataifa ya kusoma Qur'ani (qiraa) ambayo hufanyika mubashara au moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran yanatazamiwa kuwa na washiriki 250 mwaka huu.
Habari ID: 3471935    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/30

TEHRAN (IQNA)-Televisheni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imerusha hewani mashindano makubwa zaidi duniani ya Qur'ani ya moja kwa moja (live).
Habari ID: 3471035    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/25

IQNA-Serikali ya Uturuki imelaaniwa vikali kwa kuamuru kufungwa televisheni mbili za Waislamu wa madhehebu ya Shia ambazo zilidaiwa kueneza "propaganda dhidi ya serikali".
Habari ID: 3470811    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/25

Kituo cha Utamduni cha Iran nchini Nigeria kinashirikiana na al-Afrikiy Islamic TV kuandaa mashindano ya Qur’ani katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Habari ID: 3470540    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/29

Shirika la Kutoa Huduma za Satalaiti kwa Televisheni limelaaniwa kwa kuzima televisheni ya Al-Manar iliyokuwa ikirusha matangazo yako kupitia mitambo ya shirika hilo.
Habari ID: 3460128    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06

Waislamu nchini Uganda wamezindua televisheni ya kwanza kabisa ya Kiislamu nchini humo na hivyo kuhuisha matumaini ya mwamko mpya baada ya sauti ya Waislamu kukandamizwa kwa muda mrefu na vyombo vya habari nchini humo.
Habari ID: 3351062    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/24

Kikao cha Nane cha Muungano wa Redio na Televisheni za Kiislamu kimeanza leo hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3344930    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/16

Baraza Kuu la Vyombo vya Habari Tunisia limefunga televisheni na radio kadhaa za Kiislamu nchini humo kwa tuhuma kuwa hazina vibali.
Habari ID: 3331856    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/21

Katika jitihada za kueneza mafundisho halisi ya Kiislamu, jumuiya moja ya Kiislamu nchini Nigeria imeanzisha stesheni mpya za televisheni na radio katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3313357    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/12

Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Kampala, Uganda kinashirikiana na Televisheni ya kitaifa ya nchi hiyo UBC TV katika kutayarisha pamoja vipindi vya Qur'ani na vya maudhui za kidini.
Habari ID: 3312613    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/09