televisheni

IQNA

IQNA – Mmoja wa waandaaji wa kipindi cha televisheni cha Qur’ani nchini Iran kinachojulikana kama Mahfel amesema kuwa kipindi hicho kimefanikiwa kuiondoa Qur’ani katika mtazamo wa kuishia tu kwenye usomaji au matarajio ya thawabu, na kuileta katika uwanja wa uhusiano wa kijamii na ubinadamu.
Habari ID: 3482062    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/16

IQNA – Toleo la tatu la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu yajulikanayo kama “Wa Rattil” limeanza kurushwa kupitia mtandao wa Thaqalayn TV, sambamba na kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481969    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/21

IQNA –Sambamba na kuonekana kwa mwezi mwandamo unaoashiria kuingia kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, watazamaji nchini Qatar na nje ya nchi hiyo watapata mwandani mpya wa kiroho.
Habari ID: 3481949    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/17

IQNA – Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limesambaza kionjo rasmi cha msimu mpya wa kipindi cha televisheni cha “Mahfel”, ambacho hurushwa nchini Iran wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481943    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/16

IQNA – Ingawa kipindi cha vipaji vya Qur’ani cha Misri “Dawlat El‑Tilawah" bado hakijafikia hatua ya fainali, Maqari au wasomaji wawili waliobainika kwa umahiri wao katika kipindi hicho walitunukiwa zawadi katika hafla rasmi iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Cairo.
Habari ID: 3481917    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/11

IQNA – Omar Ali Awad ametangazwa na kutunukiwa tuzo ya “Tawi la Dhahabu” katika shindano la vipaji vya Qur’ani lijulikanalo kama “Dawlet El Telawa (Hali ya Usomaji)” nchini Misri.
Habari ID: 3481903    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/08

IQNA – Televisheni ya Thaqalayn Satellite imetangaza mpango wa kuandaa mashindano ya tatu ya kimataifa ya Qur’ani yanayojulikana kama “Wa Rattil” katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3481774    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/06

IQNA – Kipindi cha 13 cha shindano la vipaji vya Qur’ani Tukufu nchini Misri maarufu Dawlat al-Tilawa kilirushwa hewani wiki hii, kikiashiria kuanza kwa hatua ya mwisho ya mashindano.
Habari ID: 3481730    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/28

IQNA –Qari na Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Qur’ani cha televisheni ya Iran, Mahfel, amesema kuwa kipindi hicho kimepata umaarufu mkubwa kimataifa, kikivutia watazamaji kutoka ulimwengu wa Kiislamu na hata katika maengine ya dunaini.
Habari ID: 3481263    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/21

IQNA – Wenyeji kadhaa wa kipindi maarufu cha Mahfel kutoka Iran walialikwa kushiriki katika maadhimisho makubwa na ya muhimu zaidi ya kila mwaka ya kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) yaani Milad-un-Nabiinchini Pakistan.
Habari ID: 3481200    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/08

IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa wito wa kueneza mafundisho ya Qur'ani Tukufu katika jamii huku akipongeza juhudi za shughuli za Qur'ani zilizofanyika nchini Iran wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. 
Habari ID: 3480598    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/26

IQNA – Mmoja wa watangazaji wa kipindi cha “Mahfel,” kinachorushwa hewani katika televisheni nchini Iran katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, ameeleza mafanikio ya kipindi hicho, ikiwa ni pamoja na kuimarika kwa mapenzi ya watu kwa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3480519    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/09

IQNA – Utangazaji wa tamthilia au vipindi vya televisheni vya "Muawiya" umepigwa marufuku kwenye mtandao wa MBC Iraq.
Habari ID: 3480288    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02

IQNA – Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn itafanya toleo la pili la mashindano ya usomaji wa Tarteel wa Qur’ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480258    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/23

IQNA – Televisheni ya Qur'ani ya Misri itarusha vipindi mbalimbali vya Qur'ani ili kuongeza hali ya kiroho katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480234    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/18

Ramadhani
IQNA - Qari wa Iran Ustadh Hamed Shakernejad na Qari wa Kuwait Sheikh Abdullah Abul Hassan wamesoma Qur'ani kwa mtindo wa Munafisah katika kipindi maarufu cha televisheni cha Qur'ani nchini Iran kinachojulikana kama Mahfel.
Habari ID: 3478651    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/08

Harakati ya Qur'ani
IQNA - Katika kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Hassan Mujtaba (AS), mkusanyiko mkubwa zaidi wa wanaharakati Qur'ani Tukufu nchini Iran umefanyika katika Uwanja wa Azadi mjini Tehran wenye uwezo wa kubeba watu laki moja.
Habari ID: 3478589    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/27

Utamaduni wa Qur'ani
IQNA – Kipindi maalum cha televisheni cha Mwezi wa Ramadhani  cha ‘Mahfel’ ni kazi ya Qur’ani na ndiyo maana kimebarikiwa na Mwenyezi Mungu, mmoja wa wataalamu wa kipindi hicho alisema.
Habari ID: 3478537    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18

TEHRAN (IQNA)- Kampuni kubwa ya mitandao ya kijamii ya Marekani ya Facebook imefuta "daima" ukurasa wa mtandao wa habari wa televisheni ya Iran wa al-Alam TV kwenye jukwaa lake bila kutoa notisi yoyote mapema.
Habari ID: 3475020    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/07

TEHRAN (IQNA) – Kanali ya kwanza ya televisheni ya satalaiti ambayo ni maalumu kwa ajili ya Qur'ani Tukufu imezinduliwa nchini Misri.
Habari ID: 3472481    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/17