Rais Rouhani
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka Waislamu wote duniani waungane na kuimarisha umoja na mshikamano wao dhidi ya njama za maadui wanaolenga kuvunja umoja wa Waislamu kwa kuibua uhasama na malumbano ya kimadhehebu.
Habari ID: 3470745 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/16
IQNA-Kongamano la 30 la Kimataifa la Umoja kati ya Kiislamu limeanza asubuhi ya leo mjini Tehran huku maudhui kuu ikiwa ni udharura wa kupambana na makundi ya kitakfiri.
Habari ID: 3470744 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/15
IQNA-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema mkutano wa kimataifa wa kila mwaka wa umoja wa Kiislamu utafanyika wiki hii mjini Tehran.
Habari ID: 3470739 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/13
IQNA-Mkutano wa kitaifa wa Umoja wa Kiislamu umefanyika kwa mara ya kwanza nchini Guinea Conakry.
Habari ID: 3470711 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/03
Kongamano la Kimataifa la “Umoja wa Kiislamu, Dharura na Changamoto katika Mustakabali” linafanyika nchini Indonesia.
Habari ID: 3470702 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/28
Russia na Iran zinashirikiana katika kuandaa kongamano la Umoja wa Kiislamu mjini Moscow.
Habari ID: 3470619 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/18