iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limemalizika Jumamosi mjini Tehran baada ya kufanyika kwa muda wa siku tano.
Habari ID: 3474463    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuhusu mchango usio na kifani wa Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu-MA-) wa kuleta umoja kati ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Sunni.
Habari ID: 3474462    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23

TEHRAN (IQNA)- Vyombo vya habari vya ulimwengu wa Kiislamu vinapaswa kuimarisha jitiahda zaidi kustawisha umoja wa Kiislamu, amesema msomi wa Iraq.
Habari ID: 3474461    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23

TEHRAN (IQNA)- Warsha ya kimataifa yenye anuani ya , "Mahitajio ya Umoja wa Kiislamu Katika Dunia ya Leo' limefanyika Alhamisi mjini Tehran.
Habari ID: 3474453    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi wa Iraq amesisitiza kuhusu ulazima wa wanazuoni na maulamaa wa Kiislamu dunaini kuwa macho ili kuzuia njama za maadui za kuchochea mifarakano baina ya Waislamu.
Habari ID: 3474452    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21

TEHRAN (IQNA)- Msomi mmpja wa Pakistan ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuandaa kila mwaka kongamano la kimataifa la umoja wa Kiislamu na kusema hatua hiyo ni huduma kubwa wa Waislamu duniani.
Habari ID: 3474450    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21

TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Waislamu wa Croatia amesema, Mkutano wa Umoja wa Kiislamu ni jukwaa la kuelezea hali ya sasa ya nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3474448    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/20

TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), amesema muqawama au mapambano ndio njia bora zaidi ya kukomboa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474447    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/20

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah ametoa wito kwa Waislamu duniani kuungana ili waweze kukabiliana na njama za maadui.
Habari ID: 3474446    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/20

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu lilianza Jumanne hapa mjini Tehran na litaendelea kwa muda wa siku tano ambapo wasomi, maulamaa na wanazuoni kutoka nchi Zaidi ya 16 wanahutubu kuhusu masuala mbali mbali ya Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3474445    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/20

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema wazo la kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu lililobuniwa na Imam Khomeini (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni hatua ya kistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474444    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19

Kwa mnasaba wa Maulidi
TEHRAN (IQNA)- Tuko katika siku tukufu za kuadhimisha Maulid ya Mtume Mtukufu wa Uislamu Mohammad al Mustafa SAW, siku ambazo ni maarufu kama Maulidi.
Habari ID: 3474443    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19

TEHRAN (IQNA)- Ayatullah Mohammad Ali Taskhiri (1944-2020) anatajwa kama mmoja kati ya maulamaa mashuhuri zaidi duniani waliokuwa mstari wa mbele kutetea umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3474441    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19

TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam Hamid Shahriari, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amezungumza na waandishi habari kuhusu Kongamano la 35 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3474432    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/17

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 35 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika Tehran na kushirikisha wasomi 50 maarufu duniani.
Habari ID: 3474429    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha magaidi wakufurishaji kuushambulia msikiti wa Bibi Fatima wakati wa Sala ya Ijumaa mjini Kandahar nchini Afghanistan.
Habari ID: 3474428    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16

TEHRAN (IQNA)- Waandaaji wa Mkutano wa 35 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu wamealika wasomi, wanafikra na wataalam kutuma makala zao katika kongamano hilo.
Habari ID: 3474273    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/08

TEHRAN (IQNA) – Televisheni moja nchini Uganda imeandaa kipindi maalumu ambacho kimejadili vizingiti katika kufikia umoja baina ya Waislamu.
Habari ID: 3473386    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/23

Mwanazuoni wa Lebanon
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Lebanon amesema umoja wa Waisalu ni sera bora zaidi katika kukabiliana na maadui wanaouhujumu Uislamu na kuvunjia heshima matukufu yake.
Habari ID: 3473320    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ametilia mkazo udharura wa kuundwa kituo maalumu cha za Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na maafa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3473312    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/31