TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umemalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa yenye vipengee 26 inayosisitiza kuimarishwa umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kupambana na njama za maadui, ikiwemo njama mpya ya Marekani dhidi ya Quds Tukufu.
Habari ID: 3471300 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/08
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani, utawala haramu wa Israel, wenye fikra mgando na wategemezi wa madola makubwa ni mafirauni wa zama hizi.
Habari ID: 3471298 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/06
TEHRAN (IQNA)-Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya Jijja ametoa wito kwa Waislamu wasiibue masuala ya hitilafu za kimadhehebu katika Ibada ya Hija.
Habari ID: 3471087 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/26
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA: Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, daima Uingereza imekuwa chimbuko la vitisho, ufisadi na mabalaa kwa eneo la Magharibi mwa Asia.
Habari ID: 3470747 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/18
IQNA-Waislamu duniani wanasherehekea Maulidi na kukumbuka tukio la kuzaliwa Mbora wa Walimwengu, Muhammad Mwaminifu SAW. Ni fusa muafaka ya kutafakari kuhusu umoja wa Waislamu duniani.
Habari ID: 3470746 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/17
Rais Rouhani
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka Waislamu wote duniani waungane na kuimarisha umoja na mshikamano wao dhidi ya njama za maadui wanaolenga kuvunja umoja wa Waislamu kwa kuibua uhasama na malumbano ya kimadhehebu.
Habari ID: 3470745 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/16
IQNA-Kongamano la 30 la Kimataifa la Umoja kati ya Kiislamu limeanza asubuhi ya leo mjini Tehran huku maudhui kuu ikiwa ni udharura wa kupambana na makundi ya kitakfiri.
Habari ID: 3470744 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/15
IQNA-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema mkutano wa kimataifa wa kila mwaka wa umoja wa Kiislamu utafanyika wiki hii mjini Tehran.
Habari ID: 3470739 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/13
IQNA-Mkutano wa kitaifa wa Umoja wa Kiislamu umefanyika kwa mara ya kwanza nchini Guinea Conakry.
Habari ID: 3470711 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/03
Kongamano la Kimataifa la “Umoja wa Kiislamu, Dharura na Changamoto katika Mustakabali” linafanyika nchini Indonesia.
Habari ID: 3470702 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/28
Russia na Iran zinashirikiana katika kuandaa kongamano la Umoja wa Kiislamu mjini Moscow.
Habari ID: 3470619 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/18