iqna

IQNA

IQNA-Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa wito wa kuimarisha zaidi umoja na huruma miongoni mwa mataifa ya Kiislamu. Katika ujumbe wa pongezi kwa wenzake Waislamu kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr, inayoadhimisha baada ya kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani,
Habari ID: 3480472    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30

IQNA – Mwanazuoni wa Pakistani ametaja Qur'ani Tukufu kama ufunguo wa kutatua tofauti na kuimarisha umoja kati ya mataifa ya Kiislamu.
Habari ID: 3480249    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/21

Mtazamo
IQNA – Mchambuzi wa kisiasa wa Palestina amesema Shahidi Jenerali Qassem Soleimani aliona kadhia ya Palestina kama suala kuu la ulimwengu wa Kiislamu, ambalo linapaswa kuungwa mkono kwa njia yoyote ile.
Habari ID: 3480000    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03

Katika barua kwa Kiongozi Muadhamu
IQNA-Wanachuoni 3,000 wa Kisuni wa nchini Iran wamemwandikia barua ya shukrani Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei wakimshukuru na kumpongeza kwa operesheni ya Ahadi ya Kweli II iliyoutia adabu utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3479554    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07

Muqawama
IQNA - Dada yake Abbas Al-Musawi, mwanzilishi mwenza na katibu mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, alielezea uungaji mkono wa harakati hiyo kwa Wapalestna wa Gaza ni sawa na kutetea utu wa binadamu.
Habari ID: 3479534    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04

Umoja wa Kiislamu
IQNA - Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon Sheikh Ghazi Hunaina amesema kukabiliana wakufurishaji ni hatua ya lazima kuelekea kupatikana kwa umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3479494    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26

Umoja wa Kiislamu
IQNA – Mwanazuoni mwandamizi wa Lebanon amesema Mtume Muhammad (SAW) ni mfano bora wa kuigwa kwa ajili ya umoja katika Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3479483    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24

Spika wa Bunge la Iran
IQNA – Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitizia haja ya Waislamu kote duniani kuwa na umoja na mshikamano katika suala la Palestina.
Habari ID: 3479437    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/15

Wiki ya Umoja
IQNA- Toleo la 38 la Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litaanza katika mji mkuu wa Iran siku ya Alhamisi, wakati wa Wiki ya Kimataifa ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479435    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/14

Umoja wa Kiislamu
IQNA: Tukio hilo lililopewa jina la "Katika Mapenzi ya Mtume," lilifanyika usiku wa kuamkia Ijumaa katika Uwanja wa Mtume Muhammad (SAW) ulio katika Haram ya Imam Ridha (AS) kuashiria kuanza kwa Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479425    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13

Umoja wa Waislamu
IQNA - Jumuiya ya Waislamu Duniani (WML) imeandaa mkutano unaolenga kukuza maelewano kati ya madhehebu za Kiislamu.
Habari ID: 3478533    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa jijini Tehran amesisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu huku Waislamu wakiadhimisha 'Wiki ya Umoja wa Kiislamu' duniani kote.
Habari ID: 3477666    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu wiki hii amezungumza na waandishi habari kuhusu Kongamano la 37 la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran.
Habari ID: 3477659    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/27

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Nauryzbai Haji Taganuly, Mufti Mkuu wa Jamhuri ya Kazakhstan, amsema ni wajibu kwa wanazuoni wa Kiislamu kufanya kazi kwa ajili ya kuimarisha umoja katika Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3476570    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/16

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la siku moja limefanyika nchini Tanzania, likilenga kuimarisha na kukuza umoja katika Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3476377    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/09

Qur'ani Tukufu Inasemaje /33
TEHRAN (IQNA) – Aya ya 130 ya Sura Aal Imran inauchukulia umoja baina ya Waislamu kuwa ni jambo la wajibu na inasisitiza kwamba Qur’ani Tukufu ndicho chanzo muhimu zaidi cha umoja katika Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3476048    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/07

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mkutano mjini London umejadili chimbuko la Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia) , ukitoa wito kwa Waislamu kujenga umoja ili kukabiliana na hali hii.
Habari ID: 3475952    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/19

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa Kiislamu wa India anasema maadui wanaleta migawanyiko katika ulimwengu wa Kiislamu kwa vile hawataki kuona maendeleo ya Waislamu.
Habari ID: 3475947    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu hautasalimu amri mbele ya madola yenye nguvu na kusisitiza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu hivi sasa imekuwa mti imara uliostawi ambao ni muhali hata kufirikia kwamba unaweza kung'olewa.
Habari ID: 3475926    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 36 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza rasmi leo asubuhi katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
Habari ID: 3475917    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12