TEHRAN (IQNA) - Wakuu wa Yemen wametoa tahadhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini humo kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu ambapo 'mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila dakika 10'.
Habari ID: 3473416 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/02
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wananchi wa Palestina na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kukabiliana na hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel unaouwa watoto.
Habari ID: 3473415 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/02
TEHRAN (IQNA)- Shughuli ya maziko ya mwili wa shahid Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya kijeshi wa Iran imefanyika leo Jumatatu kwa kuchungwa protokali zote za kiafya ili kujiepusha na maambukizi ya corona.
Habari ID: 3473407 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/30
TEHRAN (IQNA) – Wiki kadhaa baada ya kumaliza kujenga Msikiti wa Jamia wa Mji wa Zigoti nchini Uganda, Waislamu wa eneo hilo sasa wameanzisha mkakati wa kupanda miti na kujenga chuo cha Qur’ani kandi ya msikiti huo.
Habari ID: 3473406 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/29
TEHRAN (IQNA)- Mtu ambaye alipatikana na hatia ya kuuhujumu msikiti na kuua Waislamu sita katika mkoa wa Quebec nchini Canada mwaka 2017 sasa anaweza kuwasilisha ombi la kuachiliwa huru baada ya miaka 25 gerezani.
Habari ID: 3473398 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/27
TEHRAN (IQNA) - Mchezaji wa zamani wa timu ya soka ya taifa ya Argentina Diego Maradona, aliyefariki Jumatano 25 Novemba akiwa na umri wa miaka 60 alikuwa muungaji mkono mkubwa wa Palestina.
Habari ID: 3473396 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/26
TEHRAN (IQNA) - Ufalme wa Saudi Arabia umesisitiza kwamba unaunga mkono uanzishwaji uhusiano kamili na kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473382 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/22
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya Sheikh Abdul-Basit akisoma aya ndefu zaidi katika Qur’ani Tukufu imeenea katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473365 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/16
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali utawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kutokana na uungaji mkono wake kwa ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3473364 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/16
TEHRAN (IQNA) – Wanachama Waislamu katika chama cha Leba cha Uingereza wamesema wameshuhudia chuki dhidi ya Uislamu katika chama hicho kikubwa zaidi Uingereza.
Habari ID: 3473362 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/15
TEHRAN (IQNA)- Malefu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel.
Habari ID: 3473360 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/14
TEHRAN (IQNA)- Waendesha mashtaka nchini Ujerumani wamewafikisha kizimbani wanaume 10 wanachama wa mrengo wa kulia wa kibaguzi ambao walikuwa wanapanga kutekeleza hujuma dhidi ya Waislamu na kuipindua serikali ya Ujerumani.
Habari ID: 3473359 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/14
TEHRAN (IQNA) -Wanajeshi wa Ufaransa walioko nchini Mali wamedai kumuangamiza kinara wa operesheni za kigaidi za tawi la kaskazini mwa Afrika la mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda.
Habari ID: 3473358 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/14
TEHRAN (IQNA) – Masjid Tiban msikiti maridadi na wenye mvuto katika mji wa Malang nchini Indonesia.
Habari ID: 3473349 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/11
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa ikilaani uhalifu unaoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel wa kubomoa nyumba na taasisi za Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3473346 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/10
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema rais Emmanuel Macron wa Ufaranmsa ni kikaragosi kinachochezeshwa na Wazayuni kichukue hatua za kuutusi na kuuvunjia heshima Uislamu.
Habari ID: 3473309 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/30
TEHRAN (IQNA) - Makundi ya kupigania ukombozi Palestina yamemlaani Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kutokana na hatua yake ya kuunga mkono michoro ya kikatuni yenye kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3473295 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/25
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema hatua ya Sudan kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel inalenga kudhamini malengo ya utawala huo ambayo ni kuangamiza taifa la Palestina.
Habari ID: 3473294 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/25
TEHRAN (IQNA) - Hatimaye baada ya mazungumzo marefu na tata pande hasimu nchini Libya zimetiliana saini makubaliano ya usitishaji vita.
Habari ID: 3473292 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/24
TEHRAN (IQNA) - Kaimu mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, ana imani ya kufikiwa mkataba wa kudumu wa kusitisha mapigano nchini Libya kutokana na mazungumzo yanayoendelea kati ya pande hasimu.
Habari ID: 3473286 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/22