Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja hatua ya serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni kuwa ni kuusaliti Ulimwengu wa Kiislamu, Ulimwengu wa Kiarabu na nchi za eneo na kadhia muhimu ya Palestina.
Habari ID: 3473127 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/01
TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri kimeanzisha kampeni maalumu ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3473126 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/01
Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Kiislamu amesema kwamba, kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, ni haramu kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473125 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/01
THERAN (IQNA) msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan ameashiria kuhusu vitendo hivyo vya kuchomwa moto nakala za Qurani Tukufu katika nchi za Sweden na Norway, huku akitoa indhari kuhusu wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
Habari ID: 3473124 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa kutatuliwa tatizo la mgogoro wa wakimbizi Warohingya kupitia utatuzi wa chanzo kikuu cha sababu za wao kukimbia makazi yao nchini Myanmar.
Habari ID: 3473113 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na utawala wa Kizayuni wa Israel zimeafikiana kushirikiana kuanzisha vituo vya ujasusi katika eneo la kistratejia la Socotra huko Yemen.
Habari ID: 3473111 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri, Mahmodu Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani akiwa safarini katika jimbo la Dakahlia nchini humo.
Habari ID: 3473109 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/27
TEHRAN (IQNA) –Mahakama nchini New Zealand imemhukumu kifungo cha maisha jela gaidi Brenton Tarrant baada ya kupatikana na hatia ya kuwaua Waislamu 51 wakati wa swala ya Ijumaa mwezi Machi mwaka jana katika mji wa Christchurch.
Habari ID: 3473108 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/27
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza hujuma zake dhidi ya Ukanda wa Ghaza kwa kuwaua shahidi Wapalestina wanne.
Habari ID: 3473100 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/25
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mukhtar Gomaa, ameamuru kuazishwe kampeni ya kitaifa ya kutayarisha misikiti kote nchini kwa ajili ya Swala ya Ijumaa wiki hii.
Habari ID: 3473094 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/23
TEHRAN (IQNA) – Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limetoa wito wa kutafutulwia suluhisho jipya na la kudumu kwa wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya walio ndani na nje ya Myanmar.
Habari ID: 3473092 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/22
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia wa Algiers, ni msikiti mkubwa zaidi barani Afrika na utafunguliwa Novemba.
Habari ID: 3473090 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/22
TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Uingereza wameitaka serikali ya nchi yao ichukue hatua kali dhidi ya China kutokana na kukandamizwa Waislamu wa jamii ya Uighur.
Habari ID: 3473088 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/20
TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi umefunguliwa baada kufungwa kwa miezi mitano kufuatia kuibuka janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473087 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/20
Rais Hassan Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jitihada mpya za Marekani za kutumia azimio 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kutoa pigo kwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA tayari zimeshafeli.
Habari ID: 3473084 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/19
TEHRAN (IQNA) - Ayatullah Ali Taskhiri, mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu masuala ya ulimwengu wa Kiislamu alikuwa mmoja kati ya walinganiaji wa umoja na ukuruba baina ya madhehebu za Kiislamu.
Habari ID: 3473082 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/19
TEHRAN (IQNA) - Ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni leo asubuhi zimeshambulia ngome za harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3473080 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/18
TEHRAN (IQNA) - Wananchi wenye hasira nchini Libya wameteketeza moto jengo la ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) mjini Tripoli wakilalamikia hatua ya serikali ya Abu Dhabi ya kufikia makubaliano ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3473075 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/16
TEHRAN (IQNA) – Misikiti imefunguliwa tena nchini Algeria baada ya kufungwa kwa muda wa miezi mitano.
Habari ID: 3473074 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/16
Harakati ya Kenya-Palestina
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mshikamano wa Kenya na Palestina imelaani vikali mapatano yaliyofikiwa baina ya watawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu na utawala ghasibu wa Israel chini ya usimamizi wa makundi ya Kizayuni nchini Marekani.
Habari ID: 3473073 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/16